Love football? Don’t miss out tomorrow!
Make sure you don’t miss out on the best best 7 a side football tournament of 2014! Foot7s Tournament Series™ are proudly hosting the “Road to World Cup Tournament” on 1st May 2014 at the Dar es Salaam...
View ArticleBaraza la wakala wa Usalama na Afya mahala pakazi (OSHA) lazinduliwa
Naibu Waziri wa kazi na ajira Dr. Makongoro Mahanga, akiwa anakaribishwa na Henry Mpande ambaye ni Mwenyekiti wa Hoteli ya Kitalii ya Millennium iliyoko katika ufukwe wa Bahari ya Hindi mjini Bagamoyo...
View ArticleMaadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yafanyika Zanzibar
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein kushoto anaepunga mkono akiyapokea maandamano ya Wafanyakazi wa Sekta mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day) yaliofanyika Hoteli ya...
View ArticleSherehe za Mei Mosi Mwanza zafana
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo...
View ArticleWafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi...
Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja...
View ArticleWajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe
Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo (kulia) akizungumza na mwandishi wa habari hizi. Kushoto ni mmoja wa manesi wa kituo. Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo...
View ArticleSkylight Band yazidi kuwakuna mashabiki wake, tukutane Thai Village leo
Picha juu na chini Aneth Kushaba AK47 akiongoza Divas wa Skylight Band kuwapa raha mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar. Usikose jioni yale ucheze...
View ArticleMataifa EAC yazingatie ulinzi wa Afrika – Uhuru Kenyatta
Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakizindua kitabu rasmi cha Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa...
View ArticleClouds Media yapata leseni ya urushaji wa matangazo katika nchi za falme za...
Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuwa imepewa leseni ya kurusha matangazo katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE). Akielezea kuhusu leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleMfumo wa kielektroniki waongeza mapato manispaa ya Kinondoni
Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bw. Sebastian Mhowera akieleza kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato unatumiwa na...
View ArticleThe Kilimanjaro Challenge against HIV and AIDS 2014
Dr. Fatma Mrisho, Executive Director for Tanzania Commissions for AIDS (TACAIDS), joined by AngloGold Ashanti Sustainability Vice President Mr. Simon Shayo and their colleagues during the launch of...
View ArticlePinda kuzindua maadhimisho wa Wiki ya Elimu mjini Dodoma
Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Elimu yatakayofanyika kitaifa mkoani Dodoma. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya...
View ArticleMhe. Kombani awapongeza wanamichezo OR-MUU kwa ushindi mkubwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akikabidhiwa kombe la ubingwa wa Mpira wa Pete la Mei Mosi 2014 kutoka kwa Kapteni wa timu Elizabeth Fusi...
View ArticleShortlisted Finalists Announced For The African Banker Awards 2014
LONDON, United Kingdom, 2 May 2015 -/African Media Agency (AMA)/ Attijariwafa Bank, Standard Bank, GTBank, and Nedbank are among the shortlisted finalists for African Banker magazine’s 2014 African...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal azindua rasmi sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba,...
View ArticleMkapa awataka watanzania kuandika katiba itakayodumisha amani
Rais mstaafu wa awamu ya tatu,Benjamen Williamu Mkapa (mwenye fimbo), akipokewa na mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Kone (wa pili kulia) kwenye viwanja vya zahanati ya kijiji cha Senenemfuru tarafa...
View ArticleSerikali yawataka wanahabari kuhamasisha umma ulipaji kodi kwa maendeleo ya...
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima akifungua rasmi mafunzo hayo ya siku pili kwa waandishi wa habari za kodi nchini jijini Dar es Salaam. Na Damas Makangale, MOblog Tanzania SERIKALI...
View ArticleWanahabari washinda uonjaji Bia TBL
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto), akiwapongeza waandishi wa habari washindi wa uonjaji bia za kampuni hiyo katika mashindano yaliyofanyika baada ya kutembelea...
View Article