Dkt. Kone awahimiza Wanafunzi kusoma masomo ya Sayansi
Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (mei mosi),yaliyofanyika kimkoa katika uwanja wa namfua mjini Singida...
View ArticleWananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe kufanya kazi saa 24
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Tembela, Elias Kalinga akifanya mahojiano na Thehabari.com hivi karibuni. Sehemu ya jengo la Kituo cha Afya Simambwe, likitoa huduma. Tembela, Mbeya WANANCHI wa Kata ya...
View ArticleWaandishi wa habari msikubali kutumiwa, unganeni
Baadhi ya waandishi wa habari na wadau kutoka asasi mbalimbali nchini wakifanya usajili kwenye kongamano la siku moja lilioandiliwa kuadhimisha Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani 2014 lililofanyika...
View ArticleSherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge zawakumbusha Wajumbe wa Bunge Maalum la...
Makamu wa Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal akipokea kijingi cha moto kutoka kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara, tayari kwa...
View ArticleWasichana 30 jijini Mwanza wapatiwa mafunzo ya siku tano kuhusu elimu ya...
Mkufunzi wa Masuala ya Kijinsia Bi. Tumaini Kyola akitoa mafunzo kwa kundi la Wasichana 30 ambao hawako mashuleni juu ya mbinu mbalimbali za kuelemisha jamii kuhusu masuala Ukatili wa Majumbani na wa...
View ArticleAudio ya mahijiano na Profesa Boas kuhusu muungano
Profesa Boas akiwa na Cheif wa swahilivilla Abou Shatry baada ya Mahojiano siku ya Ijumaa Mei 2, 2014 Maryland Nchini Marekani. Sikiliza Audio ya Mahojiano kuhusu Muungano na Profesa Boas ambaye ni...
View ArticleHatimaye Malkia na Rais mpya wa kijiji cha Maisha Plus wapatikana
Ndani ya Kijiji cha Maisha Plus/ Mama Shujaa wa chakula kila siku ya Alhamisi huwa panafanyika uchaguzi wa kumpata Rais mpya ambaye anachaguliwa na Washiriki wenyewe wa Kijiji cha Maisha Plus ambapo...
View ArticleWanawake Vodacom wapigwa msasa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati wa kongamano la kubadilishana uzoefu na...
View ArticleDkt. Migiro: Nia ya Serikali ni kuongeza uwazi zaidi
Waziri wa Katiba na Sheria Dr. Asha-Rose Migiro akiwasilisha taarifa ya makadirio ya bajeti ya Wizara yake kwa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala jana (Jumamosi, Mei 3, 2014). Kulia kwake ni...
View ArticleKinana aunguruma Pemba
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo...
View ArticleShirika la NELICO na mabaraza ya Watoto wilaya ya Geita wafanya ziara ya...
Afisa Utetezi na Mitandao ya Kijamii toka Shirika la KIVULINI Bi. Khadija Liganga akifafanua jinsi KIVULINI ilivyoweza kuliinua Shirika la Mtandao la Watoto la Jijini Mwanza (Mwanza Youth and Chidren...
View ArticleBalozi Liberata Mulamula ahudhuria onyesho la picha za kuchora la Jambo,...
Mariam Osher Mmarekani mchoraji aliyetembelea mbuga za wanyama Tanzania na kubuni uchoraji wa wanyama aliowaona huko Tanzania na kutumia michoro hiyo kuitangaza Tanzania kwa Wamarekani na raia wengine...
View ArticleAirtel yazindua duka la kisasa Mlimani City
Afisa mtendaji Mkuu Airtel Africa Christophe Soulet akikata utepe kuzindua duka la Airtel lililopo mlimani city jijini Dar es Saalam.wakishuhidia, wapili ni Andre Beyers Afisa mkuu wa masoko...
View ArticleTanki mafuta lalipuka na kusababisha adha kubwa kwa wasafiri maeneo ya Shelui...
Baadhi ya wananchi wakipiga picha wakati tanki la mafuta la kampuni ya B. Clarke Haulege Construction, Tanki hilo ni mali ya Bw. Bundala Kapela wa Igunga ni namba T634 BCZ lenye vyumba vinne na uwezo...
View ArticleSingpress yatoa msaada wa zaidi ya laki nane kwa Walemavu Siku ya Uhuru wa...
Mwalimu mkuu shule ya msingi mchanganyiko Ikungi waliya ya Ikungi, Olivary Kamilly, akizungumza ofisini kwake na wanachama wa klabu ya waandishi mkoa wa Singida, ambapo kwa kuadhimisha Siku ya Uhuru...
View ArticleUongozi wa Msitu wa Buhindi Sengerema wagawa madawati kwa shule za msingi
Afisa Elimu Msingi wilaya Sengerema Bw. Juma Mwajombe akikadhiwa madawati. Na Daniel makaka, Sengerema. WALIMU wakuu shule za msingi katika kata ya Bupandwa wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza...
View ArticleJK amteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA). Dkt. Shirima ni...
View ArticleAndikeni Habari za kumkomboa Mwananchi : Jaji Bomani
Mshehereshaji ambaye ni Mwanakamati ya maandilizi ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014, Usia Nkhoma Ledama akiwatambulisha baadhi ya waandishi wa habari wakongwe (hawapo...
View Article