Na Mwandishi Wetu, MOblog Kwa Msaada wa Mtandao
Paris Hilton mwanadada maarufu kwa kutengeneza nywele na mfanyabiashara mkubwa aweka katika mitandao picha za mapesa baada ya kushida kwenye moja ya casino maarufu nchini Marekani.
Mwanadada huyo amesema kwenye mitandao na kurasa yake ya facebook kwamba si ajabu kwake kupata mapesa mengi kwenye macasino baada ya kushinda (Blackkack) ya nguvu.
Katika moja ya picha zake Paris Hilton ameonekana akifanya kazi za UDJ katika kumbi za casino ijumaa usiku ya wiki iliyopita.
Watu wanasema kwamba Paris Hilton alionyesha uwezo wake katika suala la michezo ya casino katika jijini la New York.
Mwanadada huyo ambapo ana mazoea ya kwenda kucheza muziki kwenye casino alikuwa anaadhimisha miaka 32 ya kuzaliwa kwake.