Unataka kujua alichokisema John Malecela kuelekea mbio za Urais 2015? Soma...
Mh. John Malecela. Ndugu zangu waandishi wa habari, awali ya yote naomba niwasalimie na niwapongeze kwa kufika -mwaka mpya 2014, pia naomba niwapongeze kwa kazi kubwa ambayo mmekuwa mkiifanya hasa...
View ArticleRais Kikwete kulihutubia Taifa Jumapili hii
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete(pichani), leo, Ijumaa, Januari 31, 2013, hatahutubia wananchi kupitia utaratibu wa Hotuba ya Mwisho wa Mwezi. Badala yake,...
View ArticleVideo: Mwanamke amchana kwa Viwembe mfanyakazi wake wa Kike wa Ndani!
Dunia hii inaelekea wapi? Huku tukiendelea kupiga vita dhidi ya ukatili kwa wanawake, kuna wanawake wengine ndio wanaoongoza ukatili huo. Shuhudia stori hii ya huyu mwanamke katili aliyemchana chana...
View ArticleKinana, Mangula wawasili Mbeya kwa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM,Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Waziri Mkuu wa Finland Baada ya kumaliza...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
View ArticleAfrican gay laws criticised by UK archbishops
Opposition to homosexuality runs deep in some African nations. Justin Welby and John Sentamu tell Nigerian and Uganda presidents that victimisation of gay people is “anathema”. The archbishops of...
View ArticleVodka inawaua wanaume Urusi
Idadi kubwa ya vifo vya mapema nchini Urusi vinatokana na watu kunywa pombe nyingi , hasa Vodka. Ripoti hii ni kulingana na utafiti uliofanywa hivi karibuni nchini humo. Utafiti huo kwenye jarida la...
View ArticleJiunge na Global Breaking News Sasa!
Kuwa wa kwanza kupata Breaking News za wasanii, watu maarufu na zingine kutoka Magazeti Pendwa ya IJUMAA WIKIENDA, UWAZI, RISASI, AMANI, IJUMAA na CHAMPIONI moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi...
View ArticleWatatu wafariki kwenye matukio tofauti
Kamanda wa Polisi Mkoani Singida,SACP Geofrey Kamwela. Na Nathaniel Limu, Singida WATU watatu mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya...
View ArticleAmbassador Mulamula Remarks at the Capitol Hill Briefing On Electrify Africa...
High Table Officials looking at a video clip (not seen in the picture) of a launch of NRECA’s ‘Let there be light Project’ in rural Tanzania. H.E. Liberata Mulamula, Ambassador of the United Republic...
View ArticleWaziri Mkuu wa Finland atembelea Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (Suza) Kempasi...
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Rashid Seif Suleiman akimkaribisha Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen alipkutana na uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa...
View ArticleA Blonde Joke that You’ve Never Heard Before….
A Blonde desperately wanted a pair of beautiful alligator shoes. After becoming very frustrated with the attitude of one of the shopkeepers, the young blonde declared, ‘Well, then, maybe I’ll just go...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan atembelea Shirika la Reli Tanzania (TRL)
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Bw. Norio Mitsuya, mara baada ya kuwasili katika stesheni ya Shirika la Reli Tanzania(TRL)...
View ArticleMbunge wa Songea Mjini, Dk Nchimbi apata mapokezi makubwa jimboni kwake
Mbunge wa Songea Mjini, Dk Emmanuel Nchimbi, akipokelewa na wapiga kura wake alipofanya ziara jimboni kwake.
View ArticleWaziri Wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo akabidhi Vifaa vya Michezo kwa...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon Nungu (kulia)Vifaa...
View ArticleForbes Magazine reveals MO and Makamba Jr among 10 powerful men in Africa 2014
Mohammed Dewji, Tanzania, Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania Limited Dewji is the Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) and at 39 is...
View ArticleVitendea kazi vinachelewesha kesi katika Mahakama za Zanzibar
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akizungumza na waandishi wa habari juu ya sherehe ya siku ya sheria Zanzibar ambayo itaadhimishwa tarehe 10 Februari 2014. Mkutano huo ulifanyika Ofisini...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal afungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Istiqaama, jana Feb 01, 2014....
View ArticleMaandalizi ya miaka 37 CCM yaenda vizuri
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Sokoine ,ambapo alisema maandalizi yote yamekamilika ,majukwaa yamekamilika, uwanja umerekebishwa vizuri...
View Article