ICC yaahirisha kesi ya Rais Kenyatta
Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyatta. Kesi inayomkabili Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta huenda ikachelewa kuanza baada ya mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa jinai (ICC) Kukiri...
View ArticleMariah Carey alipwa dola milioni 1 kufanya show kwa ajili ya dikteta wa Angola
Mariah Carey, katikati, akiwa na Rais wa Angola, Jose Eduardo Dos, familia yake siku ya Jumapili iliyopita. Na.MOblog kwa msaada wa mtandao. Mwimbaji huyo alitumbuiza kwa saa mbili tamasha la Rais...
View ArticleRais Kikwete amekubali kutengua nyadhifa za mawaziri wanne kufuatia ripoti ya...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amethibitisha hayo jioni hii Bungeni mjini Dodoma. Mawaziri hao waliotenguliwa nyadhifa zao ni: Mhe. David Mathayo David wa Mifugo na...
View ArticleTazama Simba wakiwa juu ya Mti katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Morogoro
Imezoeleka kuona Simba pekee ambao wanaweza kupanda juu ya Miti ni kutoka hifadhi ya Taifa ya Manyara. lakini hata hivyo kulikuwa hapajajulikana si hifadhi ipi nyengine ambayo Wanyama hao waliweza...
View ArticleMama Regina Lowassa ashiriki Chakula cha mchana pamoja na Watoto wenye...
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu katika Kituo cha Huduma ya Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha kilichopo...
View ArticleMargareth Simalenga atunukiwa Shahada yake Chuo Kikuu cha Mzumbe
Margareth Simalenga, akipozi kwa picha mara baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika Uongozi wa biashara (usimamizi wa mashirika) yaani Master in Business Administration (Corporate Management)...
View ArticleUzinduzi wa Ripoti ya Uwezo
Msanii Mrisho Mpoto akielezea kupitia mashairi Mama Zaida Mgalla akitoa ufafanuzi kwa ripota wa Uwezo TV Bi. Melania Mhagama Mgeni Rasmi akionyesha ripoti baada ya kuzindua. Wakati ambapo asilimia...
View ArticleNape aridhika na Mawaziri kuwajibishwa
KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye. *Asema sasa ni fundisho kwa watakaolala *ziara za Kinana zimesaidia sana kutatua kero *Bado moto wa ziara hizo haujapamba *2015 CCM kurejesha viti...
View ArticleHiki ndicho alichokisema Mh. Zitto Kabwe kwa Wananchi wake kwenye mkutano wa...
Mh. Zitto Kabwe baada ya kutua Uwanja wa Ndege mjini Kigoma akilakiwa na baadhi ya viongozi wa Chadema mjini Kigoma. Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na yenye changamoto nimerudi...
View ArticleFrance implants its first artificial heart
It is a world’s first: an artificial heart designed to stay in the body for five years. Similar devices have been used for decades as a short-term measure, but recipients will be able to keep this one...
View ArticleWakazi 6 wa Mkoa wa Iringa watimka na Bodaboda za Vodacom Iringa
Mshindi wa Pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Salome Kalinga(wanne toka kushoto)mkazi wa Iringa,akipokea funguo wa pikipiki yake aliyojishindia katika...
View Article20 Beautiful Examples Of IPad Finger Painting
Make no mistake, it isn’t easy to draw on iPads (give it a try) and yet these artists made quite wonderful masterpieces. Through an amazing array of techniques, incredible talent and a love of art...
View ArticleBenki ya KCB Tanzania yamwaga misaada jijini leo
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania Moezz Mir(wapili toka kulia)akimkabidhi msaada wa Mashine ya kupasha moto vifaa vya hospitali kabla ya matumizi na baada ya matumizi kwa...
View ArticleMh. Lowassa ashiriki Tamasha la waendesha Bodaboda Jijini Dar Leo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki za kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam...
View ArticleManji awaomba wanachama wa Yanga wasivunjike moyo
Mwenyekiti wa Yanga Bw.Yusuf Manji akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu, kushoto ni makamu mwenyekiti Clement Sanga. Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Bw. Yusuf Manji amewaomba...
View ArticleMwalimu shule msingi amtia mimba mwanafunzi wake
Ofisa Elimu Msingi, Wilaya ya Nkasi, Bw. Misana Kwangura akizungumza na Thehabari.com. Na Thehabari.com, Namanyere-Nkasi MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Sintali (jina tunalo) anatuhumiwa kwa kuwatia...
View ArticleUVCCM wampongeza JK kwakuwawajibisha mawaziri
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete. NA BASHIR NKOROMO UMOJA wa Vijana wa CCM, Kata ya Mabibo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, umempongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwa kuwavua uongozi...
View ArticleMajambazi yalioua askari yajulikana
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na tukio la kujulikana kwa Majambazi yaliyoua askari mkoani Singida. Na...
View Article