Wanafunzi waongoza washindi wa Pambika na Samsung Droo ya Tano
Mshindi wa Luninga ya LED 32’ katika droo ya tano ya Pambika na Samsung Bw. Abbas Murtaza akipokea zawadi yake toka kwa Meneja wa Samsung Tanzania Bidhaa za Majumbani Bw. Raghu shetty katika hafla ya...
View ArticleMwanafunzi nchini Uingereza atengeneza shati lenye kuzuia uchafu wowote hata...
Jinsi nguo hiyo inavyoweza kukataa kuingiza uchafu na kuzuia maji kuingia au kupenya ndani. .Ni aina ya Silic (material) ina maelfu ya nyuzi zinazozuia uchafu wa aina yeyote .Mashati hayo sasa kuingia...
View ArticleJeshi la Polisi latakiwa kuongeza ushirikiano na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Kamishna Mpya wa Polisi Zanzibar Bwana Hamdan Omar Makame aliyefika Ofisini kwake katika jengo la Baraza la Wawakilishi...
View ArticleWakala wa kusimamia uegeshaji wa magari wawa kero jijini Dar, washuhudiwa...
.Kwa mujibu wa Sheria hairuhusiwi kufunga gari la mtu wakati yumo ndani ya gari .Zaidi ya hapo ni Rushwa tu .Usawa wa kijinsia uzingatiwe pia Askari wa Manispaa ya Ilala wakiwa wanafunga gari aina ya...
View ArticleEscape Complex announces US DJ for party this Saturday
DJ Kun Luv to perform live on the Escape Main Stage Escape One today announced that US DJ, Ciroc Boy DJ Kun-Luv, will make a live appearance and play a set this Saturday at Escape One in Dar es...
View ArticleMama Kikwete apewa Tuzo ya Kimataifa ya Uongozi wenye hamasa (Global...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea tuzo ya Uongozi Uliotukuka kimataifa (Global Inspirational Leadership Award 2013) kutoka kwa...
View ArticleText your husband…
There was a group of women gathered at a seminar on how to live in a loving relationship with your husband. The women were asked, “How many of you love your husbands?” All the women raised their...
View Article‘Conspiracy’ behind US arrest of Indian envoy
Hundreds have demonstrated across Indian cities protesting against the diplomat’s arrest in the US [EPA].(Source: Aljazeera). Indian foreign minister alleges conspiracy as new details emerge...
View ArticleMvua kubwa zaleta madhara Singida, watu watano wahofiwa kufa maji
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na tukio la maafa ya mvua kubwa iliyosababisha vifo. Na Nathaniel Limu,...
View ArticleTanzania-Qatar for stronger economic ties
On the 18th of December 2013, the State of Qatar celebrated its National Day, an historical event which was commemorated in Dar es Salaam in cooperation with the Qatar Embassy, the Ministry of Foreign...
View ArticleTume ya Katiba kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Mhe. Rais Desemba 30 2013
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba. Tume ya Mabadiliko ya Katiba inapenda kuwafahamisha wananchi na wadau wengine wote kuwa Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Rais wa...
View ArticleRais Kikwete alekea nchini Marekani kufanyiwa uchunguzi wa Afya yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya jana, Jumatano, Desemba...
View ArticlePress Statement of the Government Tanzania on the Situation in South Sudan...
Minister For Foreign Affairs And International Cooperation, Hon. Bernard K. Membe (MP). The Government of the United Republic of Tanzania is gravely concern with the deteriorating security situation...
View ArticleMhe. Mwinyi Haji Makame aweka Jiwe la msingi la kitengo Kipya cha Matibabu ya...
Jengo jipya la kitengo cha matibabu ya Uti wa mgongo na Ubongo linalojengwa kwa mashirikiano ya Serekali ya Spen na ya Zanzibar. - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe. Mwinyi Haji...
View ArticleHalmashauri ya Ikungi kukusanya Tsh 25.6 bilioni 2014/2015
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Bw. Protace Magayane,akitoa ufafanuzi wa jambo katika kikao maalum cha Madiwani kwa ajili ya kupitisha bajeti ya halmashauri hiyo ya...
View ArticleSMZ yakusudia kujikita katika utafiti kwa ustawi wa jamii
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Waziri wa Sayansi, Utafiti na Elimu wa Uswisi, Bwana Mauro Dell Ambrogio na ujumbe wake walipofika Ofisini kwake Vuga Mjini...
View ArticleMabadiliko ya tabianchi yana madhara ya mali na uhai wa Binadamu – YUNA
Mwenyekiti wa Asasi ya vijana ya Umoja wa Mataifa (YUNA), Dr. Lwidiko Edward, akizungumza na vijana kutoka Asasi mbalimbali hapa nchini juu ya ushiriki wa vijana katika mkutano uliopita wa COP 19...
View ArticlePadre wa kanisa aburuzwa mahakamani kwa kushidwa kutunza mtoto
Na Nathaniel Limu PADRE wa Kanisa Katoliki Singida mjini Deogratus Makuri amefikishwa mbele ya mahakama ya mwanzo Utemini mjini hapa akituhumiwa kushindwa kutunza mtoto wake wa kike. Ilidaiwa...
View Article