Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Mariah Carey alipwa dola milioni 1 kufanya show kwa ajili ya dikteta wa Angola

$
0
0

article-2526667-1A36649100000578-666_634x422

Mariah Carey, katikati, akiwa na Rais wa Angola, Jose Eduardo Dos, familia yake  siku ya Jumapili iliyopita.

Na.MOblog kwa msaada wa mtandao.

Mwimbaji huyo alitumbuiza kwa saa mbili tamasha la Rais Jose Eduardo Dos Santos Jumapili iliyopita 

Hatua hiyo imewakasirisha watu wa haki za binadamu kwamba Dos Santos ameua watu wengi na ametumia rasilimali za nchi kwa faida yake binafsi

Tamasha hilo limekuja baada ya miaka mitano kupita tangu, Mariah Carey kutuimbiza kwa kanali Muammar al-Gaddafi

Mwezi Juni, Jennifer Lopez naye aliimba kwenye sherehe ya ‘Happy Birthday ‘ kwa dikteta kandamizi wa serikali Turkmenistan.

article-2526667-1A36649500000578-328_634x421

Dikteta Dos Santos na mke wake, wa pili kutoka kulia , binti yake Isabel, tatu kutoka kushoto, ni mlipaji wa Mariah Carey.

Wachambuzi wa mambo wanasema Mariah Carey amekalia kaa la moto kutoka kwa vikundi vya haki za binadamu kwa kukubali kulipwa dola milioni 1 kufanya tamasha kwa fisadi na dikteta Dos Santos wa Angola.

Wachambuzi wa mambo wanasema ‘Ni tamasha ya kusikitisha kwa msanii wa kimataifa kununuliwa na na kiongozi katili na fisadi wa Angola ambapo yeye na familia yake wamejilundikia mabilioni na kuwaacha wananchi wengi wa Angola katila lindi la umaskini,” amesema Rais wa taasisi ya Haki za Binadamu Angola Thor Halvorssen.

Anasema kwamba Binti yake pia ni mkuu wa Msalaba Mwekundu wa Angola, ambayo iliripotiwa alipokea USD 65,000 kwa kuandaa tamasha hilo la aina yake.

article-2526667-1A3629CB00000578-370_634x630

Carey akitumbuiza baada ya kulipwa ujira wa dola za kimarekani milioni 1.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles