Samsung yahamasisha Kulinda haki za Mteja kupitia promosheni ya Pambika na...
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Samsung Tanzania Bw. Sylvester Manyara (katikati) akichezesha droo ya nne ya Pambika na Samsung huku akishuhudiwa na Msimamizi toka Bodi ya michezo ya kubahatisha Bw....
View ArticleUnyanyapaa bado ni tatizo mikoani
Meneja mradi wa Global Fund uliopo chini ya AMREF Tanzania, Andulile Kanza, akitoa maelezo juu ya mradi wao wa uhamasiahaji wa upimaji wa afya wenye lengo la ifikapo mwaka 2015 maambukizi mpya ya...
View ArticleMeTL yazindua show ya mwaka kwa watoto na vijana
Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Bi. Fatema Jaffer, akizungumza na waandishi wa habari juu ya umuhimu wa kusaidia jamii kupitia (Corporate Social Responsibility) kama njia mojawapo ya kupiga vita...
View ArticleMalkia Maxima wa Uholanzi kutua Dar kesho
Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 11 Desemba, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...
View ArticleOngezeko la kuripoti vitendo vya Ukatili na Unyanyasaji wa Kijinsia lafikia...
Mkaguzi wa Jeshi la Polisi toka Dawati la Jinsia na Watoto Mkoani Arusha Honorina Msoka akitoa zawadi kwa mmoja wa wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika wodi ya Watoto na akina mama katika hospitali ya...
View ArticleNBC yamwaga zawadi kwa washindi wa promosheni ya “Weka Upewe”
Mkuu wa Huduma za Rejereja za Kibenki wa Benki ya NBC Tanzania, Mussa Jallo (wa pili kushoto) akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya ‘Weka Upewe’...
View ArticleDiagnostic Review for Increasing Consumer Awareness and Protection and...
The World Bank today presented at a Bank of Tanzania Dissemination Workshop the findings of the Diagnostic Review for Increasing Consumer Awareness and Protection and Financial Services in Tanzania...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.Kushoto ni...
View ArticleDr. Migiro ala kiapo Bungeni mjini Dodoma leo
Mbunge wa Kuteuliwa , Dr. Asha – Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa Bunge na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma...
View ArticleRais Kikwete amjulia hali Waziri wa Fedha Mh. Mgimwa nchini Afrika Kusini
Waziri wa Fedha, Mheshimiwa William Mgimwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtembelea Waziri wa Fedha, Mheshimiwa William Mgimwa katika Hospitali ya Kloof...
View ArticleCorruption undermining the Growth of Natural Resources in Africa-UNESCO
Ministry of Natural Resources and Tourism, Deputy Permanent Secretary, Mr Selestine Gesimba gives his opening speech at the two days workshop on World Heritage Communication Strategy for UNESCO...
View ArticleTanzania Tourist Board 2013 Awards Presentation
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba akiongea machache kuwashukuru Mbalozi wa wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumatano, Dec 11, 2013 kwenye Ubalozi wa...
View ArticleVodacom kuwaunga mkono wanamitindo nchini
Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Umma na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Joseline Kamuhanda,(kushoto)akikabidhi Tuzo ya Programu bora ya fasheni ya mwaka kwa waongoza kipindi cha “NIVARNA”kinachorushwa...
View ArticleSkylight Band yazidi kuvumbua vipaji vipya, tukutane pale kati jioni ya leo
Kikosi kazi cha Skylight Band kikishambulia jukwaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku shabiki wao akipata Ukodak mbele ya jukwaa. Joniko Flower akichana mistari huku wenzake...
View ArticleKiki’s Fashion Rocking with her new 2014 Collection at Swahili Fashion Week 2013
Designer Kiki Zimba owner of Kiki’s Fashion Boutique waving to the Invitees during the Finale of Swahili Fashion Week 2013. You can Shop at Kiki’s Fashion,Haille Selaisse Road,Osterbay near Jackies...
View ArticleSim card tax to stay: ruling
The Tax Revenue Appeals Board (Trab) said the suits by the mobile phone companies and banks were lacking not only in law but also in facts and evidence to support their claims. The Citizen Leading...
View ArticleZuRii Boutique Christmas Sale Starts this Sunday 15th Dec 2013
The Zurii Fashion & Beauty Boutique Christmas sale starts this Sunday 15 December 2013. Don’t miss a trick with ZuRii massive Clearance goodies. We’ve got great bargains of up to 50% off. Be...
View ArticleMandela alipoenda kutoa heshima za mwisho kwa Tata Rolihlahla Nelson Mandela
Kutana na mtoto Mandela mwenye umri wa miaka kumi (10) tu kutoka Tanzania ambae asubuhi ya siku ya alhamisi, 12.12.2013 majira ya saa tatu na nusu alifanya ofisi ya Ubalozi wa Afrika Kusini iliyopo...
View ArticleSerikali yaipongeza UCA-Tanzania kuwanyanyua wasanii chipukizi
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Leah Kihimbi kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa UCA-Tz, Emmanuel Mushy...
View ArticleYaliyojiri kwenye mahafali ya 19 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar Es Salaam...
Mahafali ya 19 ya chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) yamefanyika ijumaa ya desemba 13 mwaka huu ambapo wahitimu katika ngazi za stashahada na cheti kwenye fani ya uandishi wa habari na...
View Article