Mbunge wa Kuteuliwa , Dr. Asha – Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa Bunge na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mbunge wa Kuteuliwa, Dr. Asha – Rose Migiro akiapa, Bungeni Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).