Emmanuel Msuya kutoka Mwanza ndio mshindi wa Epiq Bongo Star Search 2013
Meza kuu ya Majaji wa shindano la Epiq Bongo Star Search 201, Katikati ni Chief Judge Madam Ritha Paulsen, Msanii wa muziki nchini Banana Zoro pamoja na Joachim Kimaro a.k.a Master J wakifuatilia...
View ArticleAkutwa na Bunduki pamoja na Risasi 13 jijini Arusha
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Sabas akiwaonyesha waandishi wa habari (Hawapo pichani) bunduki aina ya Shortgun iliyokutwa nyumbani kwa mtu...
View ArticleHalmashauri wa Manispaa ya Singida yatumia Tsh 1.2 bilioni kwenye miradi ya Maji
Mhandisi wa maji manispaa ya Singida, Max Kaaya (kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji iliyopo kwenye mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN) kwa Naibu Waziri wa Maji,Eng.Benelith...
View ArticleMozambique Airlines Plane Crash Kills all on board
Plane carrying 33 people crashes in remote Namibian national park near border with Angola By Correspondent A Mozambique Airlines plane carrying 33 people has crashed in a remote border area, killing...
View ArticleKlabu ya Waandishi wa Habari waaswa kuacha makundi
Katibu mtendaji wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida, Abby Nkungu akitoa taarifa yake juu ya baadhi ya wanachama na viongozi wa klabu hiyo waliosimamishwa Uanachama kutokana na...
View ArticleWatanzania wanaonunua Bidhaa halisi waendelea kupongezwa katika Promosheni ya...
Mratibu wa promosheni ya Pambika na Samsung Bw. Lawrence Andrew akiongea na mmoja ya washindi wa promosheni ya Pambika na Samsung wakati wa kuchezesha droo ya tatu ya Pambika na Samsung. Washindi 15...
View ArticleA Congratulatory Message to the UAE’s 42nd National Day
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania, has sent a congratulatory message to His Highness Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, President of the United Arab Emirates...
View ArticleDuring Siege at Kenyan Mall, Government Forces Seemed Slow to Respond
By NICHOLAS KULISH, JEFFREY GETTLEMAN and JOSH KRON NAIROBI, Kenya — When the first shots of automatic gunfire burst out, Raju, a member of a local gun club, was waiting in line in a bank at the...
View ArticleLG Electronic yazindua viyoyozi vya kufukuzia Mbu jijini Dar leo
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya LG Electronics wa Afrika Mashariki, Moses Marji (kushoto), Mtafiti katika Idara ya Vijidudu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dk Billy...
View ArticleWaandishi wa Habari za Mazingira wapewa mwanga yaliyojiri Mkutano wa...
Afisa Habari kutoka Kitengo cha Habari Umoja wa Mataifa(UNIC), Usia Nkhoma Ledama akizungumza leo jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari katika hoteli ya Holiday Inn juu ya changamoto na...
View ArticleHoyce Temu alamba Nondozzz ya shahada ya Uzamili wa Mawasiliano ya Umma St....
Aliyekuwa Miss Tanzania 1999, ambaye pia ni Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu akipozi mara baada ya kulamba Nondozzz ya shahada ya Uzamili wa...
View ArticleAfro Indian Fashion Gala 2013 Red Carpet @ Indian Cultural Centre
Organizer of the Afro Indian Fashion Gala 2013 and Former Miss Tanzania Richa Adhia rocking the red carpet at the Indian Cultural Centre.
View ArticleRais Kikwete akutana na wafanyabiashara wa Uturuki Jijini Dar, leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa viongozi wa Umoja wa wafanyabishara wa Uturuki (RSKON) alipokutana nao Ikulu jijini Dars ea salaam leo Novemba 3, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleRais Kikwete amteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro(pichani) kuwa Mbunge. Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam leo, Jumanne, Desemba 3, 2013, na...
View ArticleADB, JICA waipiga jeki Serikali
Waziri wa Ujenzi Dkt John Magufuli akisistiza jambo kwa waandishi wa wakandarasi mapema hii leo jijini Dar es Salaam, wakati wa utiaji saini mikataba mitatu ya ujenzi wa barabara. Mwakilishi wa...
View ArticleRais Kikwete akiwa mgeni rasmi sherehe ya Siku ya watu wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi...
View ArticleKenya: Statute Law Bill poses grave threat to civil society and must be...
A group of United Nations Special Rapporteurs today urged the Government of Kenya to reject legislation that would impose severe restrictions on civil society. “The Bill is an evidence of a growing...
View ArticleCharity Christmas Fair on 8th & 9th December @ Seacliff
Have you any unwanted Books or Toys laying around & don’t know what to do with them, Donate them to Good Cause, Give them a new home @ Charity Christmas Fair on 8th and 9th December bring them...
View ArticleAUDIO: New Single ‘Nisamehe by Angel’(Mshiriki wa Tz – Tusker Project Fame 2013)
Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la mwaka huu la Tusker Project Fame, Angella Karashani(Angel) ameachia wimbo wake mpya uitwao, Nisamehe. Wimbo huo umetayarishwa na producer Nash...
View ArticleKinana aendelea na ziara katika jimbo la Mbeya vijijini
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa msingi wa Zahanati katika kijiji cha Chamwengo Kata ya Inyala Wilaya ya Mbeya vijijini wakati alipokagua ujenzi wa...
View Article