Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tapeli wa kizungu anasakwa:-Taarifa kwa vyombo vya Habari na Umma

Tahadhari:- Kuna Tapeli Mwenye Asili Ya Kizungu Anadai Yeye Ni Raia Wa Africa Kusini Mrefu Anaonekana Sana Mitaa Ya Kinondoni Manyanya Mida Ya Usiku Ametapeli Watu Wengi Sana Akidai Kua Ameibiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania kunufaika na mradi wa Mbogamboga mashuleni

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Sifuni Mchome akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo wakati wa hafla ya utambulisho wa Mradi wa Kupeleka Bustani za Mbogamboga na Matunda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu wawili wafa kwenye matukio tofauti Singida

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP. Geofrey Kamwela akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya matukio ya kuuawa watu wawili mkoani Singida, likiwemo la Egila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Princess of Saudi Arabia visit TANAPA Headquarters in Arusha

Princess Haifa Bin AbdulAziz of Saudi Arabia (far left) inspired by the statue of the Father of Nation the late Mwalimu Julius Nyerere at the reception of the TANAPA Headquarters in Arusha.In the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pensula English Medium School wafanya mahafali na kuanzisha mradi wa upanuzi...

Shule ya msingi na Nursery ya Peninsula imefanya mahafali ya wanafunzi wa Nursery na Mkurugenzi wa Shule hiyo Winne alike seam wamenzisha mradi wa Ujenzi wa maktaba na pia kusaidia Watoto wenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

[AUDIO]: Kuzaga kwa silaha za moto na kuongezeka kwa mauaji Tanzania

  Picha kwa hisani ya thehabari.com Si jambo geni tena hivi sasa nchini Tanzania kusikia fulani kashambuliwa au kauawa kwa risasi. Silaha za moto hapa nchini hasa zile zinazomilikiwa kiholela zimekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

World AIDS Day 2013 Statement by Donald Kaberuka, President of the African...

AfDB President Donald Kaberuka. Africa has made significant progress in fighting the HIV/AIDS pandemic. In the past seven years, AIDS-related deaths declined by 32%.The number of people contracting...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kinana akagua ujenzi wa Barabara ya Mbeya – Chunya

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akikagua ujenzi wa barabara ya lami ya eneo la kilometa 30 kutoka Mbeya hadi Chunya, wakati msafara wake ulipopita katika barabara hiyo ukienda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walimbwende wa Miss Tanzania USA Pageant wajinoa kwa mara ya mwisho

 Joy Kalemera kutoka New Jersey  Faith Kashaa kutoka Alabama  Julia Nyerere kutoka Maryland.  Hellena Nyerere kutoka Maryland.  Sham Manka kutoka Massachusetts.  Doreen Rumaya kutoka Pennsylvania....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ashiriki ziara ya Kombe la Dunia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga akiwa pembeni ya Kombe la Dunia lililopo nchini katika ziara zake jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Enock Rajabu kutoka Singida aibuka mshindi kwenye droo ya “Chomoka na Mwananchi

Mwalimu wa shule ya msingi Mwanzi ya Manyoni mjini, mkoani Singida, Enock Rajabu (kulia) akikabidhiwa hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kushinda droo ya  ’Chomoka na Mwananchi’ na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk. Kone afunga semina ya siku mbili ya soko la kukuza Ujasiriamali (EGM)

Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua semina ya siku mbili iliyohusu soko la kukuza ujasiriamali (EGM) iliyoandaliwa na soko la hisa la Dar-es-salaam (DSE) na kufadhiliwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fast and Furious Star, Paul Walker, Dies in a car crash

Paul Walker, star of the “Fast and Furious” films, died Saturday in a single-car accident and explosion. The actor died in a car accident and explosion in Southern California, first reported by TMZ....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fainali za Epiq Bongo Star Search 2013 Red Carpet Swaggaz!

Wadhamini wakuu wa Epiq Bongo Star Search 2013 Awaichi Mawala kutoka Kampuni ya Simu za mkononi Zantel. Mtangazaji wa Epiq Bongo Star Search 2013 Siza akifanya mahojiano kwenye red carpet na Awaichi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Joy Kalemera ndiye mshindi wa Miss Tanzania USA Pageant

 Mlimbwende Joy Kalemera akipungia mashabiki baada ya kushinda mashindano ya Miss Tanzania USA Pageant yaliyofanyika usiku wa Jumamosi Novemba 30, 2013 kwenye ukumbi wa Hollywood Ballroom uliopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KCB Bank yaendelea kutoa mafunzo kwa Wajasiriamali

Meneja wa Tawi, KCB bank Zanzibar, Cosmas Mwankemwa akizungumza na washiriki wa  wa semina ya ujasiriamali iliyoandaliwa na benki hiyo kwenye hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar jana.   Kaimu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal asherehesha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani...

Baadhi ya wanafunzi wakipita na mabango yenye ujumbe mbalimbali mbele ya  Jukwaa Kuu, wakati Makamu alipokuwa akipokea maandamano hayo kwenye  maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, katika Viwanja vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Yusuf na ‘Jahazi lake’ wachengua mashabiki Dar Live

Shabiki aliyevaa kihasara akinengua jukwaani. Khadija Yusuf akiimba. Mzee Yusuf akinengua na mpiga gitaa wake. …Akiwaimbisha mashabiki. Mashabiki wakiserebuka kivyao. Shabiki akijimwaya. Kijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amaliza ziara yake Wilaya ya...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisogeza matofali kwa Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa kuyapandisha juu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. January Makamba abariki uzinduzi wa Azam TV jijini Dar

 Wageni waalikwa kwenye Red Carpet. Mtangazaji wa Televisheni ya Azam TV Wasiwasi Mwabulambo akiwa kwenye Red Carpet kabla ya mahojiano na Mkurugeni wa Kajunason Blog Cathbert Angelo. Afisa Mtendaji...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live