Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa viongozi wa Umoja wa wafanyabishara wa Uturuki (RSKON) alipokutana nao Ikulu jijini Dars ea salaam leo Novemba 3, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe wa viongozi wa Umoja wa wafanyabishara wa Uturuki (RSKON) alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 3, 2013.(PICHA NA IKULU).