Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Tapeli wa kizungu anasakwa:-Taarifa kwa vyombo vya Habari na Umma

$
0
0

known_as_mzungu_shirts-rc3f3d452dd87452ba9a50f13b066bad0_vjfe2_512

Tahadhari:- Kuna Tapeli Mwenye Asili Ya Kizungu Anadai Yeye Ni Raia Wa Africa Kusini Mrefu Anaonekana Sana Mitaa Ya Kinondoni Manyanya Mida Ya Usiku Ametapeli Watu Wengi Sana Akidai Kua Ameibiwa Hotelini Na Mwanamke Na Anadai Anaishi Mbezi Kimara Kwa Wenyeji Wengi Wa Kinondoni Wanamfahamu Na Wengi Wameshamsikia Na Wanadai Ni Mswahili Chukueni Tahadhari Na Tuko Kwenye Harakati Za Kumkamata Kwasababu Amesha Tapeli Wengi Akijifanya Kuchukua Namba Za Simu Kwa Ajili Ya Kurejesha Fedha Hizo Tunaomba Wenye Tarifaa Zaidi Watusaidie Kwa Ushirikiano Na Polisi Kumtia Mbaroni Imetolewa Na Mmoja Ya Waliolizwa


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles