Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Kinana akagua ujenzi wa Barabara ya Mbeya – Chunya

$
0
0

1. KInana, Napa, Migiro  na Kandoro wakikagua ujenzi wa barabara

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akikagua ujenzi wa barabara ya lami ya eneo la kilometa 30 kutoka Mbeya hadi Chunya, wakati msafara wake ulipopita katika barabara hiyo ukienda Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujaduiliana nao njia za kuzitatua mkoani Mbeya, Nov 30, 2013. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na watatu ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro anaofuatana nao kwenye ziara hiyo.

2. Nape akiruka kwenye ujenzi barabara

Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akiruka kwenye moja ya maeneo yanaotengenezwa kwenye barabara hiyo, inayopita kwenye safu ya milima, wakati wa ukaguzi wa barabara hiyo inayotengenezwa na kampuni ya kichina ya CCCC. Nyuma yake ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana mbaye pia aliruka. (Picha zote na Bashir Nkoromo)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles