Pinda afungua mkutano wa Majaji Afrika
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande (kushoto) na Rais wa Mahakama ya Afrika Jaji Sophia Kuffo kabla ya kufungua mkutano wa majaji wa Afrika kwenye kituo...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awahutubia Wanasongea leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Sokoni Bombambili mjini Songea leo wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Ruvuma, akikagua...
View ArticleBeatrice Mroki apata Kipaimara Kanisa la KKKT Ukonga
Novemba 17, 2013 ilikuwa siku ya furaha sana kwa Beatrice Mroki (kushoto) kwa kupata sakrementi yake ya Kipaimara baada ya kuhitimu mafunzo ya miaka miwili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
View ArticleKCB Tanzania yatoa Mafunzo ya Ujasiriamali mkoa wa Arusha
Mkuu wa kitengo cha wajasiriamali wadogo na wakati wa benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha,Bw.Juma Abdul akitoa mada katika semina ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati yenye lengo la kuwaelimisha...
View ArticlePan Africa Energy mbioni kumaliza ukarabati visima vya Gesi vya Songosongo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi Mramba akitoa ufafanuzi jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam, juu ya kupungua kwa mgao wa...
View ArticleSkylight Band yazidi kuongeza utamu wa burudani, njoo ushuhudie kipaji kipya...
Aneth Kushaba AK47 akiongoza kikosi kazi cha Skylight Band kuwaburudisha mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki jijini Dar, usikose usiku wa leo burudani kem kem...
View ArticleNaibu Waziri wa Uchukuzi Dk. Charles Tizeba aendelea na ziara yake mkoani...
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba (wa tatu kutoka kulia), akiongea na fundi ambaye anafanya shughuli za ujenzi katika Daraja la Reli la Bahi-Kintinku. Dk. Charles Tizeba amefanya...
View ArticleWaziri Nchimbi afunga mafunzo ya kozi ya kuzima Moto wa Ndege Jijini Dar
Wahitimu wa Jeshi wa Zimamoto na Uokoaji wa kozi ya kuzima moto wa ndege wakizima moto kwenye ndege bandia kabla ya mafunzo yao kufungwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi....
View ArticleWatch LG’s new flexible phone heal itself after a knife scratch
When LG announced its curved smartphone, the G Flex, it boasted that the handset was coated with a “self-healing” material and even compared it to Wolverine from X-Men. LG later released a promotional...
View ArticleP-Square watua Dar “Kupagawisha Jumamosi Leaders Club”
Mwanamuziki wa kundi la P – Square, Paul Okoye akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarake Nyerere, Tayari kwa ajili ya kutoa burudani kwa Watanzania, Msanii huyo...
View ArticleBodi ya NBC yafanya mazungumzo na wateja wao Jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF) William Erio katika hafla iliyoandaliwa na bodi kwa wateja...
View ArticleMO is among the 10 Successful African Entrepreneurs To Follow On Twitter –...
Dewji is the CEO of Tanzania’s METL, a leading conglomerate with interests in manufacturing and distribution. He takes to Twitter to tweet business success quotes, links to stories about African...
View ArticleP – Square watoa wito kwa vyombo vya habari nchini
Paul Okoye wa kwanza kulia, akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu tamasha watakalolifanya kesho Jumamosi. Novemba 23 katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam. Wa pili...
View ArticlePinda akutana na Waandishi wa Habari kutoka China
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari kutoka China baada ya mahojiano, ofisini kwake mjini Dar es salaam, Novemba 22, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
View ArticleHapatoshi Chadema: Zitto, Dk.Mkumbo wavuliwa Uongozi, Arfi ajiuzulu
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu Maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama hicho ya kuwavua nyazifa Naibu Katibu Mkuu,Zitto Kabwe na Mjumbe wa...
View ArticleSerikali yakiri kuna changamoto za kimfumo katika sekta ya Viwanda, Biashara
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza katika kilele cha Siku ya Viwanda Afrika katika ukumbi wa PTA sabasaba wakati wa kufunga maonyesho hayo ya siku ya viwanda katika bara la Afrika. Na MOblog Team...
View ArticlePolitics is more than a party, not even about personalities ……….
. Zitto Kabwe political saga has drew mixed feeling from the public By Constatine Magavila This is an opinion post that I have formulated over time and it serves the sole purpose of strengthening the...
View ArticleKinana amaliza ziara Ruvuma, aelekea Kyela kwa Meli
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa...
View ArticleBalozi Sefue akutana na Mkuu wa Taasisi ya Uongozi ya China
Makamu wa Rais wa Taasisi ya Uongozi ya Jamhuri ya Watu wa China Mh.Hong Yi akimkabidhi nakala ya kitabu chenye nasaha za watu mashuhuri kutoka jamhuri ya watu wa China Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
View Article