Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awahutubia Wanasongea leo

$
0
0

1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Sokoni Bombambili mjini Songea leo wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Ruvuma, akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wananchi kushiriki shughuli za maendeleo na kuhimiza uhai wa chama.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA 2Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia wakazi wa mjini Songea leo kwenye viwanja vya Sokoni Bombambili leo 4Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Bw. Oddo Mwisho akizungumza na wakazi wa Songea leo. 6Mmoja wa wasanii akitumbuiza wananchi katika mkutano huo. 7Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo

85

Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo

9Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa vyuo elimu ya juu vya mjini Songea na walimu katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha ushirika na biashara.Kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi 10Mmoja wa wanafunzi akitoa kero za wanafunzi hao kwa niaba ya wenzake katika mkutano huo. 11Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisistiza jambo katika mkutano huo. 12Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akiwasalimia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Biashara na Ushirika mjini Songea leo. 13Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.14Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Latest Images

Trending Articles



Latest Images