![PG4A1720]()
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande (kushoto) na Rais wa Mahakama ya Afrika Jaji Sophia Kuffo kabla ya kufungua mkutano wa majaji wa Afrika kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
![PG4A1724]()