Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Mh. Pinda aagana na Balozi wa Marekani aliyemaliza muda wake

$
0
0

IMG_1268

 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Balozi huyo alikweda kuaga. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMG_1289

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitazama Sarafu ya Ubora (coin of Excellency)  aliyopewa na Balozi wa Marekani  Nchini aliyemaliza muda wake,  Alfonso Lenhardt  (kushoto), Ofisini kwake mjini Dodoma leo.

IMG_1293

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akionyesha Sarafu ya Ubora (coin of Excellency)  aliyopewa na Balozi wa Marekani  Nchini aliyemaliza muda wake,  Alfonso Lenhardt  (kushoto), Ofisini kwake mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles