Watu zaidi ya 75 wamekufa nchini Hispania kufuatia ajali mbaya ya treni...
Watu takriban 77 wamekufa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa kati ya abiria 218 baada ya treni moja ya abiri kuacha njia na kuanguka kaskazini magharibi mwa Hispania. Mabehewa yote 8 ya treni hiyo...
View ArticlePrince William and Kate name their son George Alexander Louis.
The Duke and Duchess of Cambridge have named their son George Alexander Louis. Kensington Palace has said The third in line to the throne, who was born on Monday, will be known as His Royal Highness...
View ArticleTaifa Stars yatua salama nchini Uganda tayari kuivaa ‘The Cranes’ kutafuta...
Taifa Stars imewasili salama jijini Kampala tayari kwa mechi ya marudiano ya mchujo dhidi ya Uganda (The Cranes) kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Tatu za Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN)...
View ArticleBenki ya Dunia yaipa changamoto Afrika kuboresha matumizi ya ardhi kuondoa...
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Afrika Makhtar Diop. Benki ya Dunia imetoa changamoto kwa nchi za Afrika kuhimiza maendeleo endelevu ya ardhi ili kupunguza umaskini na kujiletea maendeleo....
View ArticleSwahili TV mtaani kunani?
Na Alex Kassuwi Kwa wanakijiji wenzangu, miaka 30 iliyopita nisingeliweza kuamini ninayo yaona na kuishi hivi sasa. Kwa kifupi tuliona waakija kijijini kama mapadri, wataalamu waa mashirika toka nje...
View ArticleBinti apotea akielekea shuleni tangu Jumatatu 22 mwezi huu.
Pichani ni Mather Joseph mwenye umri wa mika 16, ambaye ni mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi cha Santer Peter Parish. Aliondoka nyumbani akielekea shuleni huko Oysterbay akiwa amevalia ngua za shule,...
View ArticleMuimbaji mahiri wa Zimbabwe Chiwoniso Maraire afariki dunia.
Mmoja wa waimbaji maarufu wanaofahamika nchini Zimbabwe Chiwoniso Maraire amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 37. Albam aliyoitoa Chiwoniso iliyoitwa ‘Ancient Voices’ ilimfanya kuwa staa katika...
View ArticleChris Brown aja kivingine apiga rangi gari lake jipya la kifahari lifanane na...
Gari jipya la kifahari la Chris Brown aina ya Lamborghini Aventador baada ya kupigwa rangi lifanane na raba zake. Raba alizonunua hivi karibuni aina ya Nike Air Foamposites. Gari hilo la kifahari...
View ArticleRais Kikwete azindua mradi wa maji Muleba pamoja na kufuturu na wanamuleba...
Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani Kagera. Rais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili...
View ArticleQueen’s Coronation Memories.
Coronation memories: Buckingham Palace hosts exhibition of the dresses, the diamonds… and the home movies shot for the Queen. The impossibly lavish clothes worn at the ascension of our monarch go on...
View ArticleWaislamu nchini watakiwa kutumia kipindi cha mfungo kutoa sadaka, kuwahudumia...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa nasaha zake alipowafuturisha viongozi wa dini mbalimbali mkoani Lindi. Waislamu nchini wametakiwa kutumia kipindi cha mfungo wa Ramadhani kuomba na kutubu dhambi...
View ArticleMtoto mchanga wa siku 28 aibiwa Ilongelo wilaya ya Singida na mwanamke...
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela akizungumza na vyombo vya habari (havipo pichani) ofisini kwake. Na Nathaniel Limu. Zakia Hussein (20) mkazi wa kijiji cha Kinyeto...
View ArticleEAC Bra Survey team in Uganda.
The EAC Brand 2013 survey team embarked on a week-long mission to Uganda on how citizens perceive the regional integration activities, programme and how much they understand of the Community. The...
View ArticleChannel O Presents…Marrying The Game.
Tune in to ‘Marrying the Game’ on Channel O on DStv. Channel O presents Marrying The Game, a show you won’t want to miss, featuring multi-award nominated hip hop artist, The Game and his beautiful...
View ArticleMtu mmoja nchini China amewaua watu 5 kwa kuwachoma kisu na kujeruhi wengine...
Polisi nchini China inamsaka mtu mmoja aliyeripotiwa kuwaua watu watano kwa kuwachoma kwa kisu na kujeruhi wengine watatu. Shirika la habari nchini humo –Xinhua limesema mtu huyo mwenye umri wa miaka...
View ArticleWahitimu wa vyuo vya elimu ya juu waula serikali yawaanzisha mpango maalum wa...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini toka Wizara ya Kazi na Ajira Ridhiwan Wema akieleza kwa waandishi wa habari juu ya mpango wa serikali kupitia Wizara hiyo kukuza ajira kwa vijana wahitimu...
View ArticleMtuhumiwa wa mfululizo wa matukio ya ubakaji Afrika Kusini akutwa amekufa...
Mtu mmoja anayetuhumiwa kuwa mmoja wa wawabakaji wabaya zaidi nchini Afrika Kusini Sifiso Makhubo (pichani) amekutwa amekufa katika sero ya gereza alilokuwamo. Sifiso Makhubo ambaye alikuwa...
View ArticleJK awapa siku kumi na nne majambazi na wahamiaji haramu katika mikoa mitatu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameamuru majambazi na wahamiaji haramu wote katika mikoa mitatu nchini kujisalimisha katika muda wa siku 14 kuanzia leo,...
View ArticleMusoma Textile Mills (T) Ltd emerged ‘Solid Waste Management winner 2013’.
The cleaner Production Centre of Tanzania (CPCT) dealing with Resource Efficiency and Cleaner Production (RECP) has conducted training on RECP to all manufacturing industries in Tanzania. The...
View Article