Gari jipya la kifahari la Chris Brown aina ya Lamborghini Aventador baada ya kupigwa rangi lifanane na raba zake.
Raba alizonunua hivi karibuni aina ya Nike Air Foamposites.
Gari hilo la kifahari lilivyokuwa wakati akilinunua.
MO BLOG: Wadau kuanzia sasa msishangae kuanza kuona mjini kuna magari yana rangi za ajabu. Ukitaka kujua kisa, dereva atakaposhuka angalia viatu vyake. Maana wabongo tuna ‘Phd’ ya ‘kukopi and paste’.-lol.