Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zanzibalicious kuwakomboa Wanawake

Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Mwanaidi Salehe akisaini kitabu cha wageni cha Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious kwenye sherehe za uzinduzi wa Umoja huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CFAO Motors wazindua toleo jipya la Mercedes Benz jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors,  Bw.Wayne McIntosh akiteta jambo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa toleo jipya la gari aina ya Mercedes Benz E-Class...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Chikawe atua Zanzibar, kutembelea Ikulu, NIDA na Uhamiaji leo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto) akipokelewa na Naibu Waziri wa wizara yake, Pereira Ame Silima, wakati alipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uingereza yajivunia kuongoza katika uwekezaji Tanzania

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron alipomtembelea ofisini kwake 10 Downing Street jijini London kwa mazungumzo Machi 31,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kinana alivyotikisa Dar

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga. Wananchi waliohudhuria mkutano huo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diaper names

I know you have been laying  awake at night wondering why baby diapers have brand names such as “Luvs”,  “Huggies,” and “Pampers’,  while undergarments for old people are called “Depends”. Well here...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pitisheni mpango wa TIKA-Magalula

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Magalula Said Magalula akifungua mkutano wa wadau mkoani Geita unatakaojadili mchakato wa uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii ujulikanao kama Tiba kwa Kadi (TIKA). Na Mwandishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal apanda mti kuadhimisha siku ya kupanda miti Kitaifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa Mwembe nje ya Ofisi yake mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti. (Picha na OMR).

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

13 Watabasam na iPad za Smile

Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Smile communications Tanzania, Lawrence Ndimbo akimpigia simu mmoja wa washindi wa promosheni ya Shinda iPad katika droo ya mwisho iliyoendeshwakatika makao makuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ridhiwani kuanza na barabara kisha elimu na afya Tokamisasa

Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha tatizo la wakulima na wafugaji kwa kuweka mpango...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete atembelea Aberdeen, Scotland, aongea na kundi la wabunge wa...

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kundi la Wabunge  wa vyama mbalimbali vya siasa walio marafiki wa Tanzania pamoja na wanachama wa  Britain and Tanzania Society (All Party Parliamentary Group...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ofisi ya Taifa ya takwimu yafunga mafunzo ya zoezi la uorodheshaji wa Viwanda...

Mkurugenzi wa Utawala na Masoko kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Stanley Mahembe akiwatambulisha wageni walioketi meza kuu (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya Zoezi la Uorodheshaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkoa wa Dodoma washiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya huduma...

Mkuu wa Mkoa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akifanya ukaguzi wa vitabu na nyaraka za taarifa mbalimbalikwa ajili ya wasomaji , pembeni yake ni Mkutubi msaidizi wa maktabaa hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL yaibuka mshindi wa pili tuzo za mzalishaji bora wa mwaka 2013

Rais Jakaya Kikwete akikabidhi kombe  kwa mshindi wa pili wa tuzo wa mzalishaji bora wa mwaka 2013, kwa  Mkurugenzi wa Huduma ya Makampuni na Masuala ya Sheria wa kampuni ya Bia ya TBL, Stephen...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tangazo la kazi

 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Kinana yakumbana na changamoto za barabara...

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimueleza jambo Mbunge wa jimbo la Nkasi Kaskazini,Mh.Ali Mohammed Kessy,walipokuwa wakitembea kwa miguu kufuatia msafara huo kukumbana na changamoto ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete awasili Brussels kuhudhuria kikao cha wakuu wa nchi wa nchi za...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili Brussels,  Ubelgiji leo asubuhi 2 Aprili,2014 kuhudhuria kikao cha siku mbili cha Wakuu wa Nchi wa nchi za Afrika na za Umoja wa Ulaya (EU-Africa Summit). Kikao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa Kamati Nambari moja ya Bunge Maalum la Katiba ateta na...

  Mwenyekiti wa Kamati Nambari 1 ya Bunge  Maalum la katiba, Ummy Mwalimu akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kuongoza  kikao cha Kamati hiyo kwenye  Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar  mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OSIEA yatoa wito kuwa na vyombo huru vya habari Jijini Dar

Meneja Mradi wa Asasi ya Kijamii ya The Open Society Initiative For Eastern African Tanzania (OSIEA), Agnes Hanti akiongea wakati wa mafunzo kwa wadau wa Habari nchini juu ya changamoto zinazowakabili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MeTL yashinda tuzo 3 za Rais za watengenezaji bidhaa kwa mwaka 2013

Na. Mwandishi wetu. Makampuni matatu makubwa yaliyo ndani ya MeTL Group hivi majuzi yamefanikiwa kutwaa tuzo za Rais za Watengenezaji Bidhaa kwa mwaka 2013. Makampuni hayo ni: East Coast Oils &...

View Article
Browsing all 1758 articles
Browse latest View live