Kamati ya maandalizi ya mkutano wa Diaspora nchini Uingereza 2014
Hon. Peter Kallaghe with Tanzania UK Diaspora Task Force at formation meeting. Kufuatia hatua ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kuunda kamati ya muda (Tanzania UK Diaspora Task Force)...
View ArticleVifusi vya ndege vyaonekana Australia?
Meneja Mkuu wa Halmasshauri ya usalama wa ndege nchini Australia, Bw. John Young. Waziri mkuu wa Australia amesema kuwa mitambo ya satelite ya nchi hiyo imenasa picha za vitu vinavyoonekana kama...
View ArticleTaasisi ya Karimjee watoa milioni 70 kudhamini masomo ya tiba ya kansa kwa...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Karimjee Jivanjee (KJF), Hatim Karimjee (kushoto), akikabidhi begi kama ishara ya kutoa ufadhili kwa Dk. Rehema Laiti kwa ajili ya kusoma shahada ya pili ya Udaktari bingwa wa...
View ArticleWakazi wa Dodoma waja na maoni tofauti juu ya muungano
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba. Na Damas Makangale, MOblog aliyekuwa Dodoma Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu...
View ArticleMwanri: Uwanja wa Ndege Mtwara kuboreshwa
Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara kwa ajili ya kujionea maendeleo ya uwanja huo. Na Saidi Mkabakuli Katika...
View ArticleCCM bado imani na serikali mbili kama muundo bora wa Muungano
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. Na Mwandishi wetu, MOblog Tanzania JUZI tarehe 18/03/2014 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini Jaji Joseph Sinde...
View ArticleHELSB yaanzisha utaratibu mpya wa kurejesha mikopo kwa njia ya mtandao
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano wa bodi ya mikopo Tanzania, Cosmas Mwaisobwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam. Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano...
View ArticleBarabara za juu kuondoa tatizo foleni jijini Dar
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi Bw. Mrtin Ntemo akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu maendeleo yaliyofikwa katika ujenzi wa barabara hapa nchini tangu Serikali ya...
View ArticleMgombea wa ubunge jimbo la Chalinze, Ridhiwani aomba kura kata ya Ubena
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, katika kata ya Ubena jana. Wananchi wa...
View ArticleShule ya Sekondari Mabibo na Ubalozi wa Japan wasaini mkataba wenye thamani...
Mstahiki Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda akizungumza wakati wa usainishwaji mkataba baina ya shule ya sekondari mabibo na ubalozi wa Japan. Shule ya Sekondary Mabibo iliyopo katika Manispaa ya...
View ArticleRais Kikwete awasili Dodoma, leo kuhutubia Bunge Maalum la Katiba
Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...
View ArticleThis is something we should all read at least once a week..Make sure you read...
7% Written by a 90 year old This is something we should all read at least once a week!!!!! Make sure you read to the end!!!!!! Written by Regina Brett, 90 years old, of the Plain Dealer, Cleveland ,...
View ArticleSkylight Band inakufanya uanze week-end yako kwa kutabasamu ni leo ndani ya...
Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa na Digna Mbepera...
View ArticleSerikali kufufua kiwanda cha matairi cha General Tyre
Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango wakitazama bidhaa zilizokuwa zikitengenezwa na kiwanda cha matairi cha General Tyre. Serikali ina mpango wa kufufua kiwanda hicho ambacho...
View ArticleBodi ya Filamu yatathmini maendeleo ya tasnia ya Filamu
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akizungumza na waandishi wa habari, hawapo pichani wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu mafanikio yaliyopatikana Bodi ya Filamu kuanzia miaka...
View ArticleAn Evening With the President: Rais Jakaya Kikwete, Sunday 30th March 2014 at...
The Tanzanian High Commission in conjunction with the Tanzania UK Diaspora Task Force are hosting an evening with our President Rais Dr. Jakaya Kikwete here in London, giving Tanzanians from across...
View ArticleMaandalizi ya tamasha la Pasaka yakamilika,Rebecca Malope kutumbuiza jijini...
MKurugenzi wa Msama Promotions Ltd, ambao ndio waandaji wa tamasha la Krismass na Pasaka, Bwa .Alex Msama amesema kuwa maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza kufanyika jijini Dar mnamo...
View ArticleSerikali kutoa ruzuku kwa wavuvi ili kuimarisha sekta ya uvuvi nchini
Watendaji wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi na baadhi ya waandishi wa habari wakipanda kwenye boti ndogo kwa ajili ya kuelekea kwenye kisiwa cha Bongoye kufanya mkutano. Frank Mvungi- Maelezo SERIKALI...
View ArticlePinda afunga wiki ya Maji mkoani Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa Mkonze katika Maanispaa ya Dodoma katika kilele cha wiki ya maji Machi 22, 2014. Kushoto kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne...
View ArticleRais Kikwete kuifungua Barabara ya Mkata – Handeni na Handeni – Korogwe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kesho anatarajiwa kuifungua rasmi barabara ya Mkata – Handeni ambayo ujenzi wake umekamilika kwa kiwango cha lami. Barabara hii...
View Article