Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze, Ridhiwani aomba kura kata ya Ubena

$
0
0

1. Ridhiwani akiomba kura kwa wananchi katika Kijiji cha Visakazi, Kata ya Ubena

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, katika kata ya Ubena jana.

2. Mtela Mwampamba akihutubia wananchi wa Visakuzi

Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano huo.

3. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Mwinshehe Mlai akimnadi Ridhiuwani ktk kijiji cha Mwidu

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlai akimpa ushauri Ridhiwani, kabla ua kumpa nafasi ya kuomba kura kwa wananchi wa kijiji cha Visakazi katika kaya hiyo jana.

4. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Mwinshehe Mlai akimnadi Ridhiuwani ktk kijiji cha Visakuzi

Mwenyekiti huyo wa CCM Mkoa wa Pwani, akimnadi Ridhiwani katika mkutano wa kampeni uliofanyika Visakazi katika kaya hiyo.

5. Watoti wa visakuzi wakijaribu kupata picha ya Ridhiwani kwa kutumia simu ya mkononi

 Watoto wakijaribu kutumia simu ya mkononi kupata picha ya Ridhiwani wakati wakihutubia Kijiji cha Visakazi.

6. Mzee akicgaraza ngoma wakato wa mapokezi ya Ridhiwani ktk kijiji cha Mwidu

 Mzee Hemedi Ali akiongoza kutumbuiza ngoma ya kumlaki Ridhiwani katika kijiji cha Mwidu kata ya Ubena.

6. Ridhiwani akisalimiana na wananchi Kijiji cha Ubena

Ridhiwani akiwasalimia wapigakura alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Mwidu.

8. Ridhiwani akisalimia Ubena zomozi

 Ridhiwani akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Ubena Zomozi alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni.

DSC_6258 9. Ridhiwani akionyesha furaha Ubena Zamozi

 Ridhiwani akionyesha furaha yake.

9. Sam wa Ukweli akitumbuiza mkutano wa kampeni za CCM Kijiji cha Visakazi, Kata ya Ubena

 Sam wa Ukweli akitumbuiza Ubena Zomozi kwenye mkutano wa kampeni wa Ridhiwani

DSC_6258

Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles