Uzinduzi wa Albamu leo; Extra Bongo waahidi kufunika Dar Live
Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choky, akizungumzia uzinduzi huo ndani ya hoteli ya Atriums iliyopo Afrika Sana, Sinza. Mratibu wa Burudani Dar Live, Luqman Maloto, akizungumza na waandishi wa habari....
View ArticleTamko la kupinga na kukanusha taarifa za upotofu na uharibifu wa Augustino...
Bw. Alex Kassuwi. NDUGU ZANGU ASANTENI KWA KUNIPIGIA SIMU NYINGI SANA NA KUNITAKIA KHERI. NILIKUWA SAFARINI. ASANTENI KWA SUPPORT. NINATOA TAMKO LA KUPINGA NA KUKANUSHA TAARIFA ZA UPOTOFU NA UHARIBIFU...
View ArticleUN and Worldreader launches e-reader initiative in Tanzania
Children read digital books in Kiswahili at a school in Tanzania during an earlier programme. Cross-posting this from The Telegraph written by Rhiannon Williams —The United Nations has launched an...
View ArticlePhilips’ Fabric of Africa report highlights innovation in tackling...
“Facing the Future : Tackling Non-Communicable Diseases in Africa” reviews current practical efforts to address NCDs in African countries Royal Philips (AEX: PHI, NYSE: PHG) (http://www.philips.com)...
View ArticleWanafunzi 10 bora matokeo kidato cha nne 2013
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Dk. Charles Msonde, akitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT), Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Naibu Katibu...
View ArticleKLM first airline to let passengers pay ‘socially’ via Facebook or Twitter
With over 5 million Facebook fans (the most of any airline in the world) and more than 800,000 followers on Twitter, and a wide range of social media initiatives, the KLM brand has become synonymous...
View ArticleWazazi na walezi washauriwa kuchukua tahadhari na madalali wa Elimu
Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii katika halmashauri ya wilaya ya Singida,Elia Digha,akitoa taarifa yake mbele ya kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika mjini Singida.(Picha na Nathaniel...
View ArticleSemina ya Wasanii mbalimbali wa Muziki na Bongo Movie yafanyika Jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion, Amoni Mkoga akitoa hotuba yake wakati wa semina ya wasanii wa Muziki pamoja na Bongo movie iliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es...
View ArticlePinda afungua Semina ya Wazazi mkoani Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...
View ArticleMsiba DMV na Tanzania
Balozi Fulgence Kazaura enzi ya uhani wake. Sima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyoada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio...
View ArticleViongozi wa mashirkisho ya wasanii nchini walipotinga Bunge la Katiba mjini...
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta (mwenye koti jeusi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao...
View ArticleThis Shows, We All Need to Love and Be Loved
A black swan feeding fish at a public park. After a devastating forest fire, fire rescue ran out of crates for the animals saved from the blazes. This fawn and baby bobcat were placed together in the...
View ArticleJeshi la Polisi Iringa latoa angalizo Jimbo la Kalenga
Na Datus Boniface, Jeshi la Polisi JESHI la Polisi mkoa wa Iringa limepiga marufuku kwa Mwananchi kuhudhuria mikutano ya kampeni wakiwa na marungu na mapanga hasa wakati huu wa kampeni za kuwania kiti...
View ArticleSpika afungua semina kuwaelimisha wajumbe wa Bunge la Katiba kuhusu haki za...
Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah akimkaribisha Spika wa Bunge la Jamhuri Anne Makinda kufungua semina jana mjini Dodoma kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleDC Singida awataka Madiwani na watendaji wa kata hadi Mei 30 Ujenzi wa...
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mwashinga Mlozi, akizungumza na madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Singida.Pamoja na mambo mengine, aliagiza kwamba Diwani na mtendaji wake wa kata wasipomaliza...
View ArticleRais Kikwete akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Misri Ikulu jijini Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara...
View ArticleMaoni ya Mnyika kuhusu matokeo ya Mtihani Kidato cha Nne 2013
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mh. John Mnyika. Maoni yangu kuhusu matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaliyotangazwa na kuelezwa kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 15.17...
View ArticleSerikali kubadili mfumo wa uzalishaji ili kuleta tija katika sekta ya kilimo
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mikakati mbalimbali ya wizara yake katika kuendeleza sekta ya kilimo...
View ArticleMtemvu achangia shilingi milioni moja Vicoba mashine ya Maji Temeke
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (aliyevaa miwani) akilakiwa na wanachama wa Mashine ya Maji Vicoba alipowasili kwa ajili ya sherehe ya kutunisha mfuko wa Vicoba hiyo iliyopo Temeke, Dar es...
View Article