Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Pinda afungua Semina ya Wazazi mkoani Dodoma

$
0
0

PG4A0465

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia semina ya viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma jana Februari  22, 2014 wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semiana hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0459 1

Washiriki wa Semina ya viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma.

PG4A0491

PG4A0507

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania,Abdallah Majura Bulembo  (kulia)  na Makamu wake  Dogo Idd Mabrouk (Wapili kushoto) na Mjumbe wa Kamati yaUtekelezaji ya Jumuiya hiyo,Mohammed Seif Khatib (wapili kulia) kutoka kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya  Taifa ya CCM mjini Dodoma baada ya kufungua semina  viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini.

PG4A0514

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Abdallah Majura Bulembo  (kulia)  na Makamu wake  Dogo Idd Mabrouk  (Wapili kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya hiyo, Mohammed Seif Khatib (wapili kulia)  baada ya kufungua semina  viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini , kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya hiyo Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles