Siyo kila mabadiliko yana faida:Nape.
Mwanza, Tanzania. KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye amesema japokuwa mabadiliko ni muhimu kwa maisha ya binadamu lakini lazima kila yanapohitajika yafanywe kwa umakini mkubwa ili...
View ArticleZanzibar, Masasi, Tandahimba, Tunduru, Ilemela, Kwimba watoa maoni Katiba Mpya.
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Walemavu wa Zanzibar, Bi Jide Khamis Saleh, akiwa pamoja na mkalimani wake Bw. Kheri Mohammed Simai, akitoa maoni yake katika Rasimu ya Katiba Mpya mjini Zanzibar hivi...
View ArticleKiongozi Mkuu wa kundi la waasi nchini Burundi akusudia kujitokeza hadharani...
Kiongozi wa kihistoria wa kundi la upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa , anakusudia kujitokeza hadharani kwa mara ya kwanza katika muda wa miaka mitatu na kutangaza mipango yake...
View ArticleWatoto wawili wauawa na Chatu mkubwa aliyeingia katika nyumba waliokuwa...
Chatu mmoja mkuwa amewaua watoto wawili mashariki mwa Canada waliokuwa wamelala. Watoto hao wa kiume Noah Barthe aliyekuwa na umri wa miaka mitano na kaka yake Connor wa miaka saba, walikuwa...
View ArticleApple ban overturned by Obama administration.
President Barack Obama using a tablet computer. (Official White House Photo by Pete Souza). The White House has stepped into a patent war between Apple and Samsung by vetoing a ban on imports of iPads...
View ArticleAnayetuhumiwa kubaka watoto 11 kufikishwa mahakamani Hispania baada ya...
Maafisa nchini Hispania wamemkamata mwanamume anayetuhumiwa kuwanajisi watoto 11 walio kati ya umri wa miaka 4 na 15 nchini Morocco. Mtu huyo aliachiliwa hivi karibu baada ya kusamehewa na mfalme wa...
View Article50 Cent faces up to five years in jail if convicted of domestic violence and...
Rapper 50 Cent has pleaded not guilty to domestic violence and vandalism charges involving his ex-girlfriend. The 38-year-old performer, whose real name is Curtis Jackson, did not speak during a...
View ArticleTaarifa za kimichezo kutoka TFF yasema ruksa 3pillars ya Nigeria kucheza...
Timu ya 3Pillars Football Club ya Nigeria (pichani) sasa inaruhusiwa kucheza mechi za kirafiki nchini baada ya kupata idhini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nigeria (NFF). Awali tuliikatalia timu...
View ArticleNelson Mandela gets apology over bill blunder.
Johannesburg officials have apologized to Nelson Mandela after he was sent a warning that his water and electricity could be cut off over an unpaid bill. They said the notice demanding payment of...
View ArticleRais Kikwete na Mama Salma wamjulia hali Mh.John Momose Cheyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama...
View ArticleONE Africa and Big Brother Africa Collaborate to Fight Poverty.
The Ruby Housemates exploded with excitement as soon as Ice Prince made a stylish entrance in the Big Brother House. The Nigerian superstar took time out of his busy schedule to pay the Housemates a...
View ArticleMwanamke mmoja nchini Ufaransa atangaza kuwa tayari kutoa huduma ya...
Mwanamke amejitolea kunyonyesha watoto wa mashoga wa kiume kwa gharama ya Euro 100 kwa siku. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 29 amejielezea kuwa ni muuguzi aliyesomea katika tangazo lililotolewa...
View ArticleFormer America’s President George W. Bush health watch.
Former President George W. Bush successfully underwent a heart procedure in Dallas, after doctors discovered a blockage in an artery during his annual physical.
View ArticleTigo yakabidhi Bajaj kwa washindi 7 wa droo ya tatu ya ‘Miliki Biashara Yako’.
Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Khalid Shabani katika hafla iliyofanyika Soko la...
View ArticleHarrison Ford replaces Bruce Wills in ‘Expendable 3’ filming.
Rocky actor Sylvester Stallone announces latest casting changes in The Expendables 3 and vents his frustration at co-star Willis. According to Sylvester Stallone, Harrison Ford has reportedly joined...
View ArticleDk. Mahanga na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wakagua Ujenzi wa...
Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akiwaonesha wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ilala (Jimbo la Segerea), kituo kipya cha Polisi...
View ArticleAskari polisi wa Manyoni mkoani Singida apandishwa kizimbani kwa tuhuma za...
Na Nathaniel Limu Askari polisi wilaya ya Manyoni mkoani Singida PC G.4121 Steven Sweya Peter (24) amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi mjini Singida, akikabiliwa na tuhuma ya...
View ArticleMNEC wa Temeke atembelea Kituo cha Watoto walio katika mazingira magumu cha...
Mjumbe wa NEC Phares Magesa akiwa na Viongozi na Watoto wanaoishi katika mazingira magumu na kuwakabidhi zawadi/msaada ili kuwasaidia Watoto hao wa kituo Cha Upendo Development group cha Temeke kata 14.
View ArticleMfanyabiashara maarufu mkoani Arusha ERASTO MSUYA apigwa risasi na kufariki...
Pichani askari Polisi wakiwa eneo la tukio kwa ajili ya kuubeba mwili wa Marehemu ERASTO MSUYA. Mfanyabiashara maarufu wa madini na mmiliki wa hoteli ya SG RESORT na MEZZALUNA mkoani Arusha Milionea...
View ArticleWapinzani wachezea kichapo Kibondo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na madiwani wa CCM wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wiki iliyopita. Katika hali inayothibitisha ule usemi wa mwanamuziki Chamilion wa Uganda...
View Article