Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Rais Kikwete afungua Baraza la Vyama vya Siasa

$
0
0
cc8
Rais Jakaya Mrisho kikwete akifungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
cc11
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
cc6
Rais Jakaya Mrisho kikwete akigawa rasimu ya katiba kwa viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.(Picha na Issa Michuzi).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Trending Articles