Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all 1758 articles
Browse latest View live

World’s oldest Man ever dies in Japan aged 116.

$
0
0

japan-oldest-man-turns

 Jiroemon Kimura, who was also the world’s oldest living person, was admitted to a Kyoto hospital for pneumonia in May but passed away in the early hours of Wednesday morning.

The Guinness World Records said Mr. Kimura was crowned the world’s oldest person on December 17, 2012, after the death of former title holder, a 115-year-old US woman.

He was asked about the secret to his long life on his 115th birthday.

He said “I don’t know exactly,”.

art-oldestman-620x349

“Maybe it’s all thanks to the sun above me. I am always looking up towards the sky, that is how I am.”

He was born on April 19, 1897 the same year as former British prime minister Anthony Eden, Nazi propagandist Joseph Goebbels and children’s writer Enid Blyton.

Mr Kimura worked at his local post office and also did some farming at his home after retiring.

He leaves seven children, 14 grandchildren, 25 great-grandchildren, and 15 great-great-grandchildren.

Japan has more than 50,000 people who are aged 100 and over, 2011 government data showed, reinforcing its reputation for longevity.

The  world’s longest living woman, 115-year-old Misao Ookawa, also comes from Japan and is now set to gain the title of the oldest person on the planet.


Urusi yapitisha miswada ya kupinga ushoga na kejeli za kidini.

$
0
0

161508109

Wabunge nchini Urusi wameidhinisha mswada unaoruhusu hukumu ya vifungo vya jela vya hadi miaka mitatu kwa kosa la kuwaudhi waumini wa kidini.

Mswada huo ulianzishwa mwaka jana baada ya wanachama wa kundi la wanamuziki la Pussy Riot nchini humo kufanya onyesho  ambalo halikutarajiwa kumkejeli Rais Vladimir Putin katika kanisa moja mjini Moscow.

Mswada mwingine unaopiga marufuku propaganda ya mahusiano ya jinsia moja yanayolenga watu wa umri mdogo pia umepitishwa na bunge hilo.

Waandamanaji wanaopinga miswada hiyo walifanya shindano la kubusiana nje ya Ikulu ya Rais kabla ya kupitishwa kwa miswada hiyo lakini walizidiwa nguvu na polisi na kundi jingine lililokuwa likiunga mkono kupitishwa kwa miswada hiyo.-DW.

Papa Francis azungumzia suala la utumikishaji watoto kinyume na sheria.

$
0
0

jorge-mario-bergoglio-will-now-be-known-as-pope-francis-i

Kiongozi  wa  kanisa  Katoliki  Papa Francis  leo amezungumzia  dhidi  ya  kuwatumia  kinyume  na  sheria watoto  katika  kazi  za  nyumbani, akisema  visa  vya kuwatumikisha  kazi  watoto  vinaongezeka  katika  nchi masikini  na  kuwaathiri  hususan  wasichana .

Papa Francis  amesema  katika  ujumbe  wake  wa kumbukumbu  ya  siku  ya  kupambana  na  kuwatumikisha watoto duniani  kuwa  kuna  watoto  kwa  mamilioni , wengi wao  wasichana , ambao  ni  wahanga  wa  aina  hii  ya udhalilishaji  uliojificha,  ambao  mara  nyingi  unajumuisha udhalilishaji  kingono, kutendewa  vibaya  pamoja  na ubaguzi.

Vyuo vya uuguzi na ukunga visivyosajiliwa kuchuliwa sheria ikiwemo kufungwa na kulipa faini au adhabu ya kifungo jela.

$
0
0

SIKU YA WAUGUZI DUNIANI MEI 12 PIX NO 1

Na Magreth Kinabo-Maelezo.

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limetoa agizo kwa mtu, kikundi au taasisi inayoendesha  mafunzo ya uuguzi na ukunga bila kuwa na kibali kufunga mara moja.

Aidha baraza hilo limewataka wamiliki wa vyuo  hivyo, wafuate taratibu zinazotakiwa ili kuhakikisha vyuo vyao vinasajiliwa.

Kauli hiyo imetolewa leo na Msajili wa vyuo hivyo kutoka katika baraza hilo Lena Mfalila, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dares Salaam.

Amesema baraza hilo linafanya kazi chini ya sheria inayoitwa ‘The Nursing and Midwifery Act’ ya mwaka 2010 namba 1 ili kuhakikisha kuwa huduma za  afya inayotolewa kwa umma ni bora na salama.

Mfalila amesema “Kuanzia sasa baraza halitasita kuchukua hatua za kisheria kwa wale wote watakaokiuka agizo hili, ni vyema  tukazingatia wito wa kutii sheria  bila shuruti”.

Ameongeza kuwa kuanzisha  mafunzo ya uuguzi bila kibali cha mamlaka husika, ambayo ni baraza hilo ni uvunjaji wa sheria, hivyo katika sheria  ya baraza hilo kifungu namba 41 kinaeleza hatua zinazopaswa kuchukuliwa dhidi ya mtu, taasisi, kikundi chochote kitakachokiuka sheria hii.

Akifafanua kuhusu kifungu hicho, Afisa Muuguzi Mkuu Kitengo cha Mipango na Fedha Andrew Kapaya, amesema sheria iko wazi kifungu cha 41 sehemu ya  nane inatoa  adhabu kwa mtu atakayekiuka kuwa   atatoa faini ya sh.milioni tatu au sh. milioni tano au kifungo cha miaka mitano au vyote kwa pamoja.

 Hata hivyo Mfalila amesema wana mpango  wa kuanzisha utaratibu mpya wa kufanya kazi kwa pamoja, yaani wataalamu kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wa kitengo hicho, baraza hilo na   Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA)  ili kuhakikisha vyuo vya taaluma hiyo vimekidhi masharti ya usajili.

 Baraza hilo limewataka wananchi kuacha kuandikisha vijana  wao katika vyuo ambavyo vinaendesha mafunzo kinyume na utarati bu, kwa kuwa wale wote wanaohitimu katika vyuo  hivyo hawatatambuliwa na baraza hilo na hawatasajiliwa kama wauguzi na wakunga hapa nchini na duniani kote.

Kili Music Award Tour 2013 yazinduliwa rasmi leo jijini Dar itahusisha mikoa 8 hapa nchini na wasanii mahiri kibao watafanya shoo za kihistoria.

$
0
0

IMG_0639

 Brand Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bw. George Kavishe (wa tatu kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi rasmi wa ziara ya matamasha ya muziki ijulikanayo kama ‘Kili Music Tour 2013’ inayotarajiwa kuanza tarehe 22 Juni 2013 huko Dodoma.

Bw. Kavishe amesemaziara hiyo kubwa ya muziki inatarajiwa kufanyika kwenye mikoa 8 nchini Kote ambapo zaidi ya wasanii 24 watashiriki ikijimuisha baadhi ya washindi na wateule wa mashindano ya KTMA 2013 pamoja na wasanii wengine wanaong’ara kwenye tasnia ya muziki nchini.

Ziara hizo ni sehemu ya juhudi za chapa ya Kilimanjaro Premium Lager katika suala zima la kuhamasisha na kuinua muziki wa Kitanzania, hususan kwenye kuinua vipaji vya wanamuziki wa nyumbani, vilevile kuwatunuku watanzania kwa kuunga mkono bia ya Kilimanjaro.

Katika uzinduzi huo Brand Manager huyo ameongeza kusema kuwa kauli mbiu ya mwaka huu ni “Kikwetu Kwetu” kwa lengo la kumfanya mtu athamini kilicho chake, kama ulivyo muziki pia kama ilivyo bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Bw. Kavishe amesema ziara hiyo itaanzia mkoani Dodoma tarehe 22 June 2013, Mbeya 29th June 2013, Moshi 6th Julai 2013, Mwanza 17th August 2013, Kahama 24th August 2013, Kigoma 31st August 2013, Mtwara 7th Septemba na ya mwisho itafanyika Dar es Salaam 14th Septemba 2013.

IMG_0664

 Mshindi wa Tuzo za Kili Music Award 2013 katika kategori ya Msanii bora wa Kiume Diamond Platinumz akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewataka mashabiki wake wajiandae kuiona tuzo hiyo Live pamoja na tuzo alizowahi kushinda wakati wa ziara ya Kili Music Tour.

IMG_0682

 Mshindi wa Tuzo ya Msanii bora wa kiume Bendi na Mtunzi bora wa mashairi Bendi Chalz Baba akitoa hamasa kwa wapenzi wa muziki kujitokeza kwa wingi wakati wa maonyesho ya ziara ya Kili Music Tour.

IMG_0731

Baadhi ya Washindi wa Tuzo za Kili Music Awards 2013 na wasanii wengine wanaong’ara hapa nchini katika picha ya pamoja Brand Manager wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bw. George Kavishe.

Waziri Mkuu Pinda katika matukio tofauti Bunge mjini Dodoma.

$
0
0

IMG_0386

 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Utatibu, Mhe. Stephen Wasira. Bngeni Mjini Dodoma Juni 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMG_0442

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, Bungeni mjini Dodoma.

IMG_0468

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na bunge wa Viti Maalum na Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stella Manyanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.

IMG_0526

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Southern Highlands yaMafinga Iringa waliotembelea Bunge.

IMG_0514

IMG_0573

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

AEG Live ‘scared to death’ by Michael Jackson treatments.

$
0
0

skynews_879121

 

The chief of AEG Live expressed concerns over Michael Jackson’s medical treatment ahead of his planned comeback shows in London.

In an email to Jackson’s manager, after receiving a $48,000 bill (£31,000) from his dermatologist, Randy Phillips wrote: “He scares us to death because he is shooting him up with something.”

Dr.  Arnold Klein’s lawyer has defended the doctor’s treatment of Jackson.

Live event promoter AEG is being sued by Jackson’s mother over his death.

Katherine Jackson claims the company failed to properly investigate her son’s personal doctor, Conrad Murray, and missed warning signs about his failing health.

Murray was convicted of involuntary manslaughter after giving Jackson a lethal dose of the anaesthetic propofol in 2009.

AEG denies any wrongdoing.

Giving evidence, Mr Phillips said the email to Jackson’s manager, Michael Kane, was sent after a meeting was held at the singer’s house to address his health and missed rehearsals.

The bill from Dr Klein, he added, included numerous shots of cosmetic drugs such as Restalyne and Botox, as well as other unidentified intramuscular shots.

 

Tanapa yakabidhi Tuzo kwa Waandishi wa Habari Mkoani Iringa.

$
0
0

2

Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Musa Juma kutoka gazeti la Mwananchi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja na laki tano aliyoshinda baada ya kuandika makala nzuri ya kutangaza utalii wa Tanzania katika tuzo inayoandaliwa na shirika la hifadhi za taifa TANAPA kwa waandishi wa habari wa Televisheni, Redio na Magazeti katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi watuzo hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Hiltop Hotel ya mjini Iringa, hafla hiyo imefanyika baada ya mkutano wa siku mbili kati ya wahariri wa vyombo vya habari na TANAPA katika ikiwa na kauli mbiu ya Jukumu la Vyombo vya habari Katika kukabiliana na Ujangili katika hifadhi za taifa uliomalizika leo , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-IRINGA.

3

Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Albano Midelo wa Gazeti la Dira tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi.

421

Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Alex Magwiza wa TBC tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi.

5

Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi David Azaria wa Sahara Media tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi.

7

Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali alioongozana nao katika hafla hiyo kutoka kulia ni Adam Swai Katibu Tawala msaidizi mkoa wa Iringa,Theresia Mahongo Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa,James Lembeli Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili na kushoto ni Mkurugenzi wa TANAPA Ndugu Allan Kijazi.

8Mhariri wa habari Chanel Ten Esther Zelamula akitangaza mmoja wa washindi katika hafla hiyo kulia ni Lesara Kabongo Afisa Utalii TANAPA na kushoto ni Meneja Uhusiano wa TANAPA Pascal Shelutete. 9Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Eliya Mbonea wa gazeti la Rai tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 10Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi David Rwenyagila wa Radio Five tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 11Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Antonio Nugas wa Clouds Media tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 12Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Lilian Shirima wa TBC tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 14Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo za TANAPA mara baada ya kuwakabidhi zawadi zao kutokana na ushindi wao.

1Kikundi cha ngoma cha Mkwawa Magic Site Cature Troupe kikitumbuiza katika hafla hiyo. 4 Lesara Kabongo Afisa Utalii TANAPA kulia na kushoto ni Meneja Uhusiano wa TANAPA Pascal Shelutete pamoja na maafisa wengine wakiwa katika hafla hiyo. 5Jaji mkuu Dr. Ayoub Rioba akitambulisha majaji wa shindano hilo Majaji wa shindano hilo kulia ni Beatrice Kessy na kutoka kushoto ni Jack Meena na Tuma Abdallah 6Wahariri mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo. 7Meneja uhusiano wa TANAPA Pascal Shelutete akitangaza utaratibu wa hafla hiyo 11Baadhi ya wahariri wakifurahia jambo katika hafla hiyo 12Baadhi ya wahariri wakifuatilia jambo katika hafla hiyo.


Wakulima wa mtama jimbo la Singida wabatiza mtama kutoka Kenya jina la mkuu wa mkoa na kuuita ‘Dkt. Kone mtama-1’.

$
0
0

Ukame-_Singida

 

Na Nathaniel Limu.

Wakulima wa zao la mtama jimbo la Singida Kaskazini wamebatiza mtama aina ya ‘kari naco’ kutoka nchini Kenya, jina jipya la Dkt. Kone mtama-1, kuanzia sasa, ikiwa ni kuenzi juhudi binafsi za mkuu wa mkoa wa Singida, kuhimiza kilimo cha mazao yanayostahimili ukame, zao la  mtama likiwemo.

Wakifafanua, wakulima hao wamedai kuwa mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Vicent Kone katika mikutano yake ya ndani na ya hadhara, amekuwa akitumia muda mwingi zaidi kuhimiza wakulima kulima mazao ambayo ni kipaumbele kwa mkoa huo,  yanayostahimili ukame.

Wametaja mazao yanayostahimili ukame  ambayo Dkt. Kone amekuwa akiyahimiza kuwa ni pamoja na mtama na uwele.

Msemaji wa wananchi hao diwani wa kata ya Ikhanoda Higa Mnyawi amesema “Katika kilimo cha mazao ya mtama na uwele, amekuwa akiweka msisitizo zaidi na kuwaambia wananchi kuwa, hayo ndiyo mazao pekee ya asili ya makabila ya Wanyaturu na Wanyiramba”.

Amengeza kuwa “Kuhusu zao la mahindi, amekuwa akisema licha ya kuwa sio zao la asili la mkoa wa Singida, lakini pia hali ya hewa ya mkoa hairuhusu zao hili kulimwa kwa madai linahitaji mvua nyingi ambazo hazipatikanani mkoani Singida”.

Aidha, Mnyawi kwa kutambua pia kuwa mkoa wa Singida unaweza kuondokana na tishio la kukumbwa na balaa la njaa, amekuwa akitumia nguvu zake nyingi kulima mtama na uwele ambao vile vile una soko kubwa kwenye makampuni ya kutengeneza pombe.

Akifafanua zaidi, amesema kuwa Dkt. Kone katika harakati zake hizo, kuna kipindi alipigwa vita sana na baadhi ya wananchi na viongozi wakiwemo wa kuchaguliwa, lakini hakurudi nyuma na sasa wakulima wameanza kuona manufaa ya kulima mtama na uwele.

Wananchi hao wameyasema hayo kwenye kilele cha sherehe za wakulima kwa msimu huu ,zilizofanyika katika kijiji cha Maweya tarafa ya Ilongero jimbo la Singida Kaskazini.

 

Skylight Band ndio habari ya mujini, tukutane Thai Village baadae.

Kikosi maalum cha kupambana na Ujangili TANAPA chahitimu mafunzo Ruaha National Park.

$
0
0

144

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi akikagua gwaride la kikosi maalum cha kupambana na ujangili katika hifadhi za taifa wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika mbuga ya Ruaha kandokando ya mto Ruaha wakipewa mafunzo hayo na wakufunzi Martin Mthembu kutoka taasisi ya African Field Rager Training Services ya Afrika kusini, kikosi hicho maalum cha TANAPA kilikuwa na askari 20 wamehitimu mafunzo hayo askari 19 moja hakufanikiwa kumaliza mafunzo kwa sababu za kiafya, Kivutio kilikuwa kwa askari mwanamke pekee katika kikosi hicho Aikandaeli Lema ambaye aliweza kufanya mafunzo kwa kiwango cha juu bila kuwa na tofauti yoyote kiutendaji ya kijinsia ameza kufanya mafunzo yote magumu na kulenga shabaha kwa kiwango cha juu kabisa alimwelezea mkufunzi wa mafunzo hayo Martin Mthembu kutoka Afrika Kusini na akampa sifa na pongezi nyingi kwa uwezo wake kama mwanamke. PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-RUAHA NATIONAL PARK 3

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi akirejea meza kuu mara baada ya kukagua gwaride hilo katika ufungaji wa mafunzo hayo.

4

Kikosi hicho kikitembea kusonga mbele tayari kwa kutoa heshimza zao kwa mgeni rasmi.

6

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi akipokea heshima kutoka kwa kikosi hicho wakati alipofunga mafunzo rasmi ya kukabiliana na ujangili katika hifadhi za taifa kulia ni Adam Swai Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Iringa na kushoto ni Mkurugenzi wa Uhifadhi TANAPA Martin Loiboki.

7

Askari wahitimu wa kikosi hicho kushoto ni Frank Anthon Malema na Mwanamke pekee katika kikosi hicho Aikandaeli Lema wakisoma risala mbele ya mgeni rasmi wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo

8

Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo.

10

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo hayo askari Frank Anthon Malema kulia ni Mkurugenzi wa Uhifadhi TANAPA Martin Loiboki na kushoto ni Mkufunzi wa mafunzo hayo na mhifadhi TANAPA Genes Shayo.

11

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo hayo askari Elisamehe Elisafi Mdeme kulia ni Mkurugenzi wa Uhifadhi TANAPA Martin Loiboki na kushoto ni Mkufunzi wa mafunzo hayo na mhifadhi TANAPA Genes Shayo.

12Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi akimpongeza John Kijazi baada ya kupokea cheti cha kuhitimu mafunzo hayo 13Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi akizungumza na wahitimu wa mafunzo hayo.14Martin Mthembu Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchini Afrika Kusini akitoa maelezo kwa Allan Kijazi Mkurugenzi wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA wakati akikagua eneo maalum la kulenga shabaha katika ufungaji wa mafunzo hayo kulia ni Dr. Christopher Timbuka mhifadhi mkuu wa Ruaha Nation Park. 15Askari maalum wa kikosi hicho cha kupambana na ujangili katika hifadhi za taifa wakionyesha moja ya kazi zao wakati wakitafuta majangili katika hifadhi hizo 16Mmoja wa Askari wa kikosi hicho akilenga shabaha 17Mkufunzi wa Mafunzo hayo Martin Mthembu akielezea mafanikio ya kikosi hicho katika kulenga shabaha kwa mkurugenzi wa hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi wa pili kutoka kushoto wa pili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Uhifadhi Martin Loiboki na wa kwanza kushoto ni Dr. Christopher Timbuka Mhifadhi Mkuu Ruaha Nation Park 20Mkufunzi Martin Mthembu akielezea jinsi askari hao wanavyotakiwa kuwatafuta majangili huku wakiwa na maamuzi ya haraka bila kuchelewa na kutoua jangili ambaye hana madhara askari wa anatakiwa kufanya kazi yake kwa ufanisi lakini pia kulinda usalama wake yaani fanya kazi yako lakini rudi salama 21Askari mwanamke pekee Aikande Lema akilenga shabaha huku mkufunzi huyo akiangalia 22Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi naye akimshuhudia askari huyo 23Askari Aikande Lema akirejea mara baada ya kumaliza kazi aliyotumwa na mwalimu wake kwa mafanikio katika kulenga shabaha. 24Mto ruaha 25Mnyama tembo yuko hatarini kutoweka kutokana na majangili kuwauwa kwa wingi wakichukua pembe zake 27Twiga ni mojawapo ya wanyama ambao pia wanauliwa na majangili 28Mhifadhi wa Ruaha National Park Paul Banga akitoa maelekezo kwa wahariri wa vyombo vya habari kabla ya kuingia mbugani jana kwa lengo la kujifunza utalii wa ndani na kujionea wanyama mbalimbali wanaopatikana katika hifadhi hiyo 29

Wahariri wa vyombo vya habari wakiwa katika geti la kuingilia kwenye mbuga ya Ruaha National Park.

Rais Kikwete ahudhuria mkutano wa G8 – London.

$
0
0

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amealikwa kuiwakilisha Tanzania na Afrika katika shughuli za Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Nchi Zenye Viwanda Vingi Duniani – G8 wa mwaka huu unaofanyika London, Uingereza.

Rais Kikwete pamoja na ujumbe wake, aliondoka nchini usiku wa kuamkia leo, Ijumaa, Juni 14, 2-13 tayari kwa mkutano uliopangwa kufanyika kesho, Jumamosi.

Rais Kikwete ambaye pia alihudhuria mkutano wa mwaka jana wa G-8 Marekani kwa mwaliko wa Rais Barack Obama, amealikwa na Waziri Mkuu wa Uingereza, Mheshimiwa David Cameron kuhudhuria mkutano wa mwaka huu.

Rais Kikwete ambaye atashiriki katika kikao cha kujadili ukuaji wa uchumi ataungana na Rais John Mahama wa Ghana, Rais Alpha Conte wa Guinea, Rais Hassan Sheikh Mahmound wa Somalia na Rais Blaise Compaor’e wa Burkina Faso kushiriki katika kikao hicho.

Rais Kikwete ameandamana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu.

Dar es Salaam.

14 Juni, 2013

Warembo wa Redd’s Miss Kinondoni 2013 wachangisha Milioni 52 katika harambee kwa ajili ya kununua vitanda vya akinama kujifungulia.

$
0
0
Naibu Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mheshimiwa Songolo ambaye alimwakilisha mgeni rasmi meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiongoza harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kununua vitanda kwa ajili ya akina mama wanaojifungua (delivery beds) kwa hospitali za Mwananyamala pamoja na Sinza Palestina ambapo warembo hao walitembelea wodi za akina mama na kufanya usafi. Pamoja na harambee kulizinduliwa rasmi kambi ya Redds Miss Kinondoni 2013. Pembeni ni Mkuu wa Itifaki wa Mashindano ya Miss Tanzania, Albert Makoye na Mratibu wa shindano la Redd’s Miss Kinondoni Bw. Ssebo. Harambee hiyo ilifanyika ukumbi wa Ambassador uliopo hoteli ya JB Belmont jijini Dar es Salaam. 
Jumla ya vitanda 15 vyenye thamani ya shilingi milioni 52.5 zimepatikana katika harambee iliyoandaliwa na warembo wa Redds Miss Kinondoni 2013 kwa ajili ya kununua vitanda kwa ajili ya akina mama wanaojifungua (delivery beds) kwa hospitali za Mwananyamala pamoja na Sinza Palestina iliyofanyika katika ukumbi wa Ambassador uliopo hoteli ya JB Belmont jijini Dar es Salaam. 

Akizungumza mshiriki wa shindano hilo, Sarah Paul alisema kuwa wanamshukuru Mungu kwa kuweza kuwawezesha kufanya harambee hiyo ambayo ilitokana na wao baada ya kutembelea hospitali ya Mwananyamala pamoja na Sinza Palestina wakajionea uhaba wa vitanda vya akina mama wakati wa kujifungua.

“Tulisononeshwa sana na hali tuliyoikuta hospitalini hapo ambapo baada ya kuongea na mganga mkuu wa Manispaa ya Kinondoni dokta Gunini Kamba alitueleza kuwa jumla ya akina mama wapatao 50 mpaka 80 hujifungua kwa siku moja hivyo wanauhaba wa vitanda, tukaona tukae na viongozi wetu watusaidie kuandaa harambee na tunamshukuru Mungu tumefanikiwa kupata vitanda 15 japo nia yetu ilikuwa ni kupata vitanda 20,” alisema mrembo huyo.

Mashindano ya Redd’s Miss Kinondoni 2013 yanatarajia kufanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip siku ya Ijumaa 21 June 2013. Viingilio katika onyesho hilo ni shs. 60,000 VIP, shs. 25,000 kwa tiketi za kawaida na meza ya watu ukitazama zawadi.

IMG_9826

Warembo wa Redds Miss Kinondoni 2013 wakitambulishwa kwa Naibu Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mheshimiwa Songolo ambaye alimwakilisha mgeni rasmi meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda. Mgeni huyo pia alipata fulsa ya kuzinduliwa rasmi kambi ya Redds Miss Kinondoni 2013 iliyopo katika hoteli ya JB Belmont jijini Dar es Salaam. 

Warembo wa Redds Miss Kinondoni 2013 walipata fulsa ya kucheza mara baada ya harambee na ufunguzi rasmi ya kambi yao. 
Furaha zilitanda.
Kila mmoja akionyesha ufundi wake.
Mashindano ya Redd’s Miss Kinondoni yamedhaminiwa na Redd’s Original, Chilly Willy Energy Drink, Oriflame Natural Beauty Products, Times Fm, JB Belmonte Hotel, Michuzi Media Group, Michuzijr Blog, Mtaa Kwa Mtaa Blog, Fullshangwe Blog, HandeniKwetu Blog, Mrokim Blog, TheHabari.com, JestinaGeorge Blog, SufianMafoto Blog, Global Publisher, Mdimuz Blog, Lukaza Blog, MO Blog na Kajunason Blog.

Chris Tucker Chilling in the Land Down Under!!! World Tour 2013.

Wazee wa Ilaria waiombea CCM ushindi.

$
0
0
 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na wanachama wa CCM kata ya Elerai mara tu baada ya kuwasili kwenye kata hiyo.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akibadilishana jambo na mmoja wa wanachama wakongwe wa kata ya Elerai kabla ya kuanza kwa mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa Udiwani ya kata hiyo.

 Mbunge wa Vijana mkoani Arusha , Ndugu Catherine Magige akihutubia wakazi wa kata ya Elerai na kuwataka wakazi wa kata hiyo kutambua thamani ya kura kwa kuichagua CCM.

 Naibu Waziri wa Ardhi, Mhe. Goodluck Olemadeye akihutubia wakazi wa kata ya Elerai na kuwaambia CCM inatekeleza ilani yake ya uchaguzi kwa wakati na kila kilichoahidiwa Arusha kitafanyika.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimnadi mgombea wa kiti cha udiwani kata ya Elerai, Mwl.Emmanuel Laizer,na kuwaambia wana Arusha muda wa kufanya maendeleo ni huu na CCM haina kazi nyingine zaidi ya kuleta maendeleo Arusha.

 Mgombea wa kiti cha Udiwani kwa tiketi ya CCM, Mwalimu Emmanuel Laizer akihutubia wakazi wa kata ya Elerai  kwenye mkutano wa kufunga kampeni.

 Bibi na mjukuu wake wakifuatilia kwa makini yale yanayosemwa na viongozi wa CCM wakati wa kufunga kampeni za udiwani kata ya Elerai.

Mbunge wa Vijana Arusha ,Ndugu Catherine Magige akisikiliza kwa makini sera za mgombea wa udiwani wa kata ya Elerai ,Mwl. Emmanuel Laizer.

 Mboya akihutubia wakazi wa kata ya Elerai na kuwaelezea kuwa alipotea sana kuishabikia Chadema na amewasihi wakazi wa kata hiyo kutofanya makosa kama kweli wanataka maendeleo.

4

Wakazi wa kata ya Elerai Arusha mjini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye maraa baada ya kufungwa kwa kampeni za uchaguzi wa Diwani, juni 14.2013.


“Usiku wA Tudd Thomas” Juni 30, 2013 Dar Live.

Taarifa ya Michango kwa ajili ya kusafirisha mwili wa marehemu Jerome Mpefo.

$
0
0
image
Kufuatia kifo cha ndugu yetu, JEROME MPEFO, kilichotokea juzi tarehe 12, June,2013-,Houston, Texas, mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Tanzania kwa mizishi inafanyika.

Tunawaomba ndugu,jamaa, marafiki, watanzania na yeyote aliyeguswa na msiba huu kusaidia kwa michango ya hali na mali ili tuweze kufanikisha kuupeleka mwili wa marehemu nyumbani.

Kwa wale ambao hawawezi kuleta michango katika pesa taslimu, tunapokea michango kupitia;

Name of The Bank : Bank Of America

Account Number: 586033522448

Routing Number: 113000023

Name On The Account: STELLA LIMING

Pia tutakuwa na fundraising siku ya Jumamosi (tarehe 15, June,2013) kuanzia Saa 10 Jioni. Anuani ya mahali Fundraising itakapofanyika ni

5800, Westheimer Road,

Houston, Texas, 77057

Misa ya kumuaga ndugu yetu JEROME MPEFO, itafanyika siku ya Jumanne wiki ijayo. Tutawataarifu juu ya muda na mahali.

Kwa upande wa nyumbani Tanzania, wasiliana na wafuatao kuhusu msiba na maelekezo yoyote ya jinsi ya kufika nyumbani kwa wafiwa;

GRACE MPEFO: +255 717 400808

RAYMOND: +255 714 644964

Asanteni sana. Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa. Jina lake lihimidiwe.Amen.

Halle Berry and Olivier Martinez blessed with a baby boy!

$
0
0

halle-berry-having-boy

 

Two months after Halle Berry announced that she was expecting her second child with her fiancé Olivier Martinez and rumors swirled that it was a boy, Martinez confirmed that they are indeed having a baby boy.

“My son will be an American, but I remain French,” Martinez told People Magazine in Paris today.

Martinez was answering questions about how celebrity differs in France compared to America.

“I’m French — it’s less important,” Martinez explained. “Meaning, I remain a Frenchman in America, but I adapt to American culture. I feel good there — but I’m still a foreigner.”

Berry and Martinez are expected to welcome their son in the fall. This will be the first child for Martinez and the second for Berry, who has a five-year-old daughter, Nahla, with model, Gabriel Aubry.

Uchaguzi wa udiwani kata ya Iseke mkoani Singida CCM na CHADEMA zashindana kunadi sera zao.

$
0
0

E83A0391

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mh.Freeman Mbowe akimnadi mgombea wa CHADEMA Emmanuel Jingu anayewania nafasi ya udiwani kata ya Iseka tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

E83A0382

 Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Nkhoiree tarafa ya Ihanja waliohudhuria mkutano wa CHADEMA wa kampeni ya nafasi ya udiwani kata ya Iseke.(Picha na Nathaniel Limu).

E83A0381

Na Nathaniel Limu.

Zikiwa zimebakia siku mbili kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa nafasi ya udiwani kata ya Iseke tarafa ya Ilongero wilaya ya Ikungi, joto la uchaguzi limezidi kupanda kwa vyama vya CCM na CHADEMA vinavyopewa nafasi kubwa kushinda nafasi hiyo, kuongeza kasi na nguvu katika kampeni zao kwa lengo la kushinda nafasi hiyo.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Bw. Freeman Mbowe amewataka wakazi wa kata 26 zinazotarajiwa kufanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi za udiwani zilizokuwa wazi nchini, kufanya maandalizi ya kupokea kwa amani na utulivu matokeo ya uchaguzi huo.

Mbowe ametoa wito huo wakati akimnadi mgombea wa CHADEMA Emmanuel Jingu anayewania  nafasi ya udiwani kata ya Iseke tarafa ya Ihanja kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Nkhoiree.

Amesema Watanzania ni lazima kwanza watangulize mbele uhai wao na amani na utulivu uliopo nchini, halafu mambo mengine yakiwemo ya vyama vya siasa yafuate.

Mbowe amesema hapendi na hatarajii kwamba baada ya matokeo ya udiwani kata ya Iseke kutolewa, kutokee vitendo vya uvunjivu wa amani ikiwemo ya watu kutoana damu.

Kwa upande wa CHADEMA Mbowe amesema ana uhakika wa CHADEMA kushinda kwa kura nyingi katika kata 16 na vyama vingine vinavyogombea kujaza nafasi hizo zilizowazi, zitagawana kata zilizosalia.

Naye Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki Mh. Tundu Lissu amewataka wananchi wa kata ya Iseke kumchagua Emmanuel Jingu wa CHADEMA, ili waweze kuondokana na kero za kusumbuliwa kuchangia maendeleo yao kwa madai jukumu la kuwaletea maendeleoni la serikali.

Kwa upande wake mgombea Jingu ameahidi endapo atashinda, atahakikisha anajenga utamaduni wa kukusanya kero za wananchi na kuziwasilisha kwenye vikao vya mabaraza ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi, kutafutiwa ufumbuzi wa kudumu.

Facebook Introduces Twitter-Like Hashtags.

$
0
0

htttt-642-380

Social networking site Facebook is to follow Twitter’s lead and roll out hashtags for its users.

In a blog post announcing the move, the company said it planned to make it easier for people to find out what their friends are discussing.

Users will be able to search for specific hashtag topics from the website’s navigation bar to open up a feed of discussions about a particular topic.

They will also be able to click on hashtags that originate on other services, such as Instagram.

Product Manager at Facebook Greg Lindley, said the roll-out would be starting immediately.

Viewing all 1758 articles
Browse latest View live