PHOTOS: Sex Tape Of Zimbabwean Big Brother-The Chase Representative Leaks.
This is a warning for ladies, she’s in the big brother Africa house and her boyfriend did the unspeakable, he leaked their private video online!! One of the housemates representing Zimbabwe in the...
View ArticleWabunge wa DRC wampongeza JK kwa Msimamo wake wa kusaka Amani ya kudumu Congo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Na VOA Kufuatia wito wa rais Jakaya Kikwete kwa marais wa mataifa ya maziwa Makuu marais Paul Kagame, wa Rwanda, Joseph Kabila wa...
View ArticleAsilimia 87.85 ya watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha sita 2013...
Naibu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde. Jumla ya watahiniwa 52, 513 waliandikishwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2013 wakiwemo wasichana 16,934 sawa na asilimia...
View ArticleObama atumiwa barua nyingine yenye sumu hatari aina ya Ricing.
Shirika la upelelezi la Marekani FBI limesema kuwa barua yenye sumu hatari aina ya ricin imetumwa kwa rais Barack Obama kutoka Spokane katika jimbo la Washington, siku ambayo barua ya sumu kama hiyo...
View ArticleBee Gee Barry Gibb To Receive Lifetime Honour.
Bee Gees star Barry Gibb is to be honoured with a lifetime achievement award at a major music event next month. The last surviving Gibb brother will be celebrated at the O2 Silver Clef Awards for a...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda akagua Ujenzi wa Shule ya Msingi Kakuni jimboni kwake Katavi.
Pichani juu na chini ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Shule ya Msingi ya kakuni katika kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele ambayo ujenzi wake unasimamiwa kwa karibu sana na yeye...
View ArticleChina yafikiria kuwekeza visiwani Zanzibar katika sekta ya viwanda vya mazao...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Mkuu wa Divisheni ya Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa katika Idara ya Biashara ya Jimbo Heilongjiang Nchini China Bw. Li...
View ArticleJapan yaipiga jeki Tanzania katika sekta ya kilimo kwa mkopo wa shilingi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah(kushoto) akifafanua umuhimu wa ujenzi wa miundombinu mipya ya kilimo cha umwagiliaji mpunga hapa nchini jana jijini Dar es salaam mara baada ya...
View ArticleTanzania yatia saini mradi wa umeme wa mabilioni ya fedha.
The Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Finance Dr. Servacius Likwelile and Sumitomo Corporation Senior Official signs a Memorandum of Understanding(MOU) for Kinyerezi 240 MW combined cycle...
View ArticleMwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Nice Jack anyakua taji la Redds Miss Singida.
Mgeni rasmi katika shindano la kumsaka Miss Redds mkoa wa Singida 2013/2014 mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Mgana Msindai akizungumza kwenye ufunguzi wa shindano hilo lililofanyika katika bwalo la...
View ArticleMars pebbles prove water history.
Scientists now have definitive proof that many of the landscapes seen on Mars were indeed cut by flowing water. The valleys, channels and deltas viewed from orbit have long been thought to be the...
View ArticleOfisi ya CAG yasaini makubaliano ya kusaidia miradi ya Kimaendeleo.
Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali Ludovick Utouh. Na.Eleuteri Mangi- Maelezo Tanzania kupitia Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imetiliana saini mkataba wa Euro 3,500,000 na...
View ArticleMpiganaji Ernest Zulu azikwa kijijini kwao Songea.
Mwakilishi wa Spika wa Bunge ambaye pia ni Kamishna na Mbunge wa Mafia Mhe. Abdul Karim Shah akitoa salamu za rambirambi wakati wa mazishi ya Afisa Habari Mkuu wa Bunge marehemu Ernest Zulu...
View ArticleViongozi wa CCM watakiwa kujenga utamaduni wa kuwaeleza wananchi ukweli wa...
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi baada ya kufungua tawi la CCM la Kitongoji cha Wangamiko, Kata ya Malangali wilaya ya Wanging’ombe, Machi 31, 2013, akiwa katika...
View ArticleKuna uwezekano wa kuwa na kizazi kisicho na Ukimwi barani Afrika.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akihudhuria kongamano kuhusu kuzuia maambukizi ya HIV/AIDS lililoandaliwa na serikali ya Japan kwa kushirikiana na...
View ArticleWatch Oprah’s Inspirational Commencement Speech to Harvard University’s Class...
Oprah Winfrey may have many scratching their heads as they wonder how in the hell OWN ended up being a pre-game outlet for Tyler Perry’s ultimate cable station, but one thing is for certain: That...
View ArticleKampuni ya Reli Tanzania (TRL) yazindua wiki ya Mazingira kwa ngazi ya TRL.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania-(TRL) Kipallo Kisamfu akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni hiyo jana jijini Dar es salaam kwa ajili ya uzindizi wa wiki ya mazingira kwa ngazi...
View ArticleThought Provoker: 18 Ways to Make Your Parents Feel Great.
The parents nowadays are quite worried about the behavioral changes in their children due to several socio-economical reasons. The gap between parents and the younger generations, is increasing day...
View ArticleWadau Imekaeje hii.
Kijana wa Chadema akishiriki shughuli za CCM Ludewa. CCM Oyee! Kijana wa Chadema nae akanyoosha mikono. Kijana wa Chadeema akiwa karibu kabisa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na...
View ArticleMaboresho yanayoendelea katika Usafiri wa Bandari na Reli yaleta Neema,...
Rais wa Chama cha Wakala wa Forodha na Uondoshaji wa Shehena Tanzania (TAFFA) Bw. Stephen Ngatunga wakati akitoa ufafanuzi kuhusu mkutano wa Kimataifa wa Wakala wa Forodha katika nchi za Afrika na...
View Article