Huddah and Denzel Are Out Of The Chase.
After only a week in the House, Huddah and Denzel have been sent packing! Yesterday evening, quirky Ugandan Denzel and sexy Huddah from Kenya, became the first two Housemates to be Evicted from the...
View ArticleIt’s official! Kim Kardashian and Kanye West are having a girl!
Kim Kardashian celebrated her baby shower on Sunday, and a few hours later, the fans of her E! reality show got in on the fun, when it was revealed on the show that she and rapper Kanye West are...
View ArticleRais Kikwete: Tumeanza kukomesha aibu ya mauaji ya albino.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mheshimiwa Ban Ki Moon.(Picha na Maktaba). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amelaani...
View ArticleMwanafunzi wa kike mkoani Singida adaiwa kutelekeza mtoto wa miezi mitano.
Mkuu wa wilaya ya Singida, mwalimu Queen Mlozi akiwa amempakatia mtoto wa kiume ambaye inadaiwa kutelekezwa kwenye pagara la nyumba na mama yake ambaye anasoma chuo cha uhasibu tawi la Singida.Mtoto...
View ArticleMichael Douglas reveals that Oral Sex Caused his Cancer.
Hollywood actor Michael Douglas has revealed his throat cancer was caused by performing oral sex. The 68-year-old said the stage-four cancer, which took him around six months to battle, was...
View ArticleBan Ki Moon ampongeza Rais Kikwete kuhusu njia mpya ya kuleta amani DRC.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mh. Ban Ki Moon akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. (Picha na Maktaba). KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mheshimiwa...
View ArticleRais Mugabe aridhia kuitisha uchaguzi mwezi Julai nchini Zimbabwe.
Rais Robert Mugabe wa Zimbwabwe (pichani) amesema atatii amri ya mahakama iliyomtaka kuitisha uchaguzi kabla ya mwisho wa mwezi wa Julai. Mugabe ameema pia uchaguzi huo utaendelea licha ya...
View ArticleMwanajeshi wa Marekani anayeshutumiwa kutoa siri kwa tovuti ya Wikileaks...
Mwanajeshi wa Marekani anayetuhumiwa kutoa zaidi ya nyaraka 700,000 za siri kwa tovuti ya Wikileaks anafikishwa mahakamani leo mjini Maryland akishtakiwa kwa kuvujisha taarifa hizo...
View ArticleWizara ya Uchukuzi yaadhimisha wiki ya Mazingira Duniani kwa kusafisha katika...
Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi na Taasisi zilizo chini ya Wizara wakiwa ndani ya Treni kuelekea katika kituo cha Buguruni Bahresa, ambapo waliadhimisha Wiki ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi...
View Article10 Amazing Castles Built For Love.
Castle Boldt resides on the beautiful Heart Island and remains a monument of love to this day, the love of George C. Boldt for his wife, Louise. According to Boldt Castle history, “Beginning in 1900,...
View ArticleAfisa Habari wa Wizara ya Viwanda na Biashara Edward Denis Nkomola avamiwa na...
Bw. Edward Nkomola akiwa wodini Moi. Bw.Edward na Mkewe Mtarajiwa Elizabeth, siku ya send off Mjini Same, wikiendi iliyopita. Afisa Habari Daraja II wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Edward Denis...
View ArticleTanzania yaomba Japan kusaidia walimu wa Sayansi na Hisabati.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Shirika la Ushirikiano na Misaada ya Kimataifa la Japan (JICA) Dkt. Akihiko Tanaka kwenye...
View ArticleAsasi ya Mategemeo Women Association yaendesha mdahalo wa Elimu ya Uraia kwa...
Katibu wa asasi isiyo ya kiserikali ya Mategemeo Women Association, Viola Lindikikok akitoa mada katika mdahalo wa elimu ya uraia ulioandaliwa na asasi hiyo na kuwashirikisha zaidi ya vijana 100...
View ArticleRais Kikwete awasili Singapore kwa ziara ya kikazi ya Siku tatu na kuzungumza...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore. Kushoto ni Balozi wa Tanzania India na Singapre Injinia John Kijazi na mbele yao ni...
View ArticleSaudi Prince spends $20 million for a three day private visit at Disneyland...
A Saudi Prince Fahd al-Saud, spent over $20 million at Disneyland, Paris to celebrate his degree. The celebration was a well-organized event with programs well scheduled and tailor-made involving...
View ArticleDr. Rahabu Rubago awashauri wagonjwa wa vidonda vya tumbo nchini kuepuka...
Mgunduzi wa Dawa ya Asili ya Vidonda vya tumbo Dr. Rahabu Rubagu akizunguma na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Bwawani Mjini Zanzibar kuangalia harakati za...
View ArticleMwili wa Marehemu Albert Mangwea watua nchini tayari kwa mazishi.
Waombolezaji wakibeba mwili wa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marehemu Albert Mangwea a.k.a Ngwair au COWBOY wakati ulipowasili leo alasiri kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere kwa...
View ArticleViwanja vinauza jijini Mwanza.
Viwanja vinauzwa, Malimbe,Sweya Jijini Mwanza umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUT University. Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95 na 96 kama vinavyoonyeshwa katika...
View ArticleAsilimia kubwa ya Wakazi wa Singida waweka wazi kuwa hawakuona umuhimu wa...
Sehemu ya wakazi wa Singida katika mkutano wa hadhara. Na Nathaniel Limu. Wakazi wa wa Singida mjini asilimia kubwa hawakusikiliza rasmu ya katiba iliyosomwa tarehe 3/6/2013, kwa kile walichodai...
View Article