Quantcast
Channel: MO BLOG » Admin
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Mwili wa Marehemu Albert Mangwea watua nchini tayari kwa mazishi.

$
0
0

1a

 

 

Waombolezaji wakibeba mwili wa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marehemu Albert Mangwea a.k.a Ngwair au COWBOY wakati ulipowasili leo alasiri kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere kwa shirika la ndege la South Africa Airways kutoka nchini Afrika Kusini. Albert Mangwea alifariki hivi karibuni nchini humo ambapo habari zisizo rasmi inadaiwa kuwa alikula chakula chenye sumu.(Picha na FullshangweBlog).

26

 

Umati wa waombolezaji ukijaribu kulikaribia jeneza la msanii huyo huku watu wengine wakijaribu kupiga picha wakati mwili wake ulipowasili kwenye uwanja wa JK Nyerere leo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1758

Latest Images

Trending Articles



Latest Images