Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi akichangia Bungeni Mjini Dodoma Aprili 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglican Tanzania, Donald Mtetemela akichangia Bungeni mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kuga Mzray akichangia Bungeni Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samueli Sitta (wapili kushoto wakizungumza na Beatrice Shellukindo (wapili kulia) na Riziki Lulida (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)