Tigo yasaidia kukuza vipaji nchini
Kampuni ya simu ya mikononi ya Tigo imeamua kutoa udhamini kwa watoto wa kitanzania wanaocheza mpira wa kikapu, (basketball) kwenda nchini Canada kwa ajili ya mashindano yanayojulikana kama Basketball...
View ArticleDiamond kuwasha Ngololo Houston Texas USA Memorial Weekend May 25
LIMITED ADVANCE TICKETS ONLINE NUNUA YAKO MAPEMA MLANGONI ZITAONGEZEKA….BOFYA WWW.DIAMONDUSATOUR.COM KWA MARA YA KWANZA KABISA SHOW HII ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI AMBAO JAY Z,P DIDDY,RICK...
View ArticleMichango Imeshindikana mpendwa wetu Mike Lukindo imebidi achomwe moto...
Mike Lukindo enzi ya uhai wake. Watanzania wa Wisconsin wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Mike Lukindo na pamoja na jitihada zote...
View ArticleRasilimali watu na Haki ya Kuzaliwa Tanzania…..Part I
Katika karne iliyopita, wasomi mbali mbali wakiwepo wanauchumi, pamoja na wataalamu wa maswala ya kijamii waligundua umuhimu wa rasilimali watu katika kukua kwa uchumi wa dunia. Kuwepo kwa elimu bora,...
View ArticleTume yaanza utafiti katika mapitio ya mfumo wa sheria unaosimamia haki za walaji
Katibu Msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. Adam Mambi akiwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Mpango wa kuanza utafiti katika mapitio ya mfumo wa sheria unaosimamia...
View ArticleJapan yatoa msaada wa magari kwa Jeshi la zimamoto na uokoaji
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kulia) akipokea ufunguo ikiwa ishara ya kukabidhiwa magari matano kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada wakati wa tafrija fupi ya...
View ArticleTimu ya watoto wa mitaani yachachafya Brazil
Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imefanikiwa kuingia nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia yanayofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil baada ya jana kuifunga Indonesia kwa jumla ya mabao...
View ArticleKongamano na maonyesho ya wanawake Wajasiriamali Tanzania yafana
Kongamano la wanawake Wajasiriamali Tanzania lilofanyika katika ukumbi wa Mbezi Garden Hotel lilifana , mada mbalimbali ziliwasilishwa katika kongamano hilo liliandaliwa na Tanzania Business...
View ArticleMwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa...
Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge...
View ArticleWanafunzi 2,006 hawajaripoti kidato cha kwanza mkoani Singida
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa. Na Nathaniel Limu, Singida JUMLA ya wanafunzi 2,006 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu mkoani hapa bado hawajaripoti...
View ArticleBenki ya NBC yazindua Huduma ya Bima ya Bure ya Mkopo jijini Dar
Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Kemibaro Omuteku (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa benki hiyo wakionyesha vipeperushi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya...
View ArticleWananchi waomba serikali kurudisha oparesheni tokomeza ujangili
Mkuu wa wilaya ya Manyoni, Fatuma Toufiq (wa kwanza kushoto) na anayefuata ni Dc wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda na mkuu wa wilaya mpya ya Ikungi, Manju Masambya (wa tatu kushoto).Picha zote na...
View ArticleWadau wa filamu nchini waaswa kuendelea kupeperusha bendera ya Tanzania...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha wadau wa filamu kuhusu mstakabali wa soko la filamu nchini leo jijini Dar es...
View ArticleWananchi waaswa kuachana na Matumizi ya Vipimo visivyo Rasmi
Kaimu Meneja Sehemu ya Habari toka Wakala wa Vipimo Bi. Irene John akiwaeleza jambo waandishi wa Habari (hawapo pichani) na kuwatahadharisha wananchi kuhusu matumizi ya vipimo batili unaofanywa kwa...
View ArticleOfisi ya Taifa ya Takwimu yafungua mafunzo ya Uandishi Bora wa taarifa za...
Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa (katikati) akimsikiliza kwa makini mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Namna ya Uandishi...
View ArticleSkylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na...
Meneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia...
View ArticlePinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo...
View ArticleMnada mkubwa wa vitu vya Ubalozi wa Finland, Royal Danish Embassy na British...
Auction Advert by zainul_mzige21
View ArticleHuduma ya BURE ya kukagua afya kwa waishio DMV, Marekani
Wataalam wa afya DMV (HCP Metro DC) wanatuleta huduma ya afya kwa wale wasiokuwa na bima ya afya. Huduma hii itatolewa kwa usawa bila kujali dini,rangi,umri,uraia au uchumi. Kama una rafiki, ndugu au...
View Article