Makamu wa Rais Dkt. Bilal, amjulia hali mzee Ali Machano Muasisi wa ASP
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Ali Machano (122) mmoja kati ya Waasisi wa ASP wakati alipomtembelea kumjulia hali kijijini...
View ArticleSalamu za Chrismas na Mwaka Mpya toka Thehabari.com
GAZETI la Mtandao la Thehabari.com (www.thehabari.com) linawatakia wasomaji wake na Watanzania wote kwa ujumla Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2014. Gazeti hili lina watakia wasomaji wake wote mwaka...
View ArticleUsaili wa Shindano la Vipaji kwa watoto la “MO Kids Got Talent 2013″ wakamata...
Chief Judge wa Shindano la “MO Kids Got Talent”, Salma Mziray, akitoa maoni yake kwa baadhi ya washiriki wa usaili wa shindano hilo uliofanyika kwenye hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal azuru familia ya marehemu Sheikh Suleiman Amour...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiifariji familia ya marehemu Sheikh Suleiman Amour (82) aliyefariki Dunia hivi karibuni wakati alipofika nyumbani...
View ArticlePinda ahudhuria ibada ya X-Mass kijijini kwake Kibaoni
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee baada ya ibada ya Krismasi iliyofanyika kijijini kwake, Kibaoni wilayani Mlele, Katavi, Desemba 25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mke wa...
View ArticleWengi wajitokeza kuugaga mwili wa aliyekuwa Kocha wa Makipa Simba marehemu...
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kocha wa makipa wa Simba, marehemu James Kisaka likiingizwa kwenye basi la klabu hiyo, baada ya kutolewa heshima za mwisho katika misa iliyofanyika katika Kanisa la...
View ArticleWhat a shame: Tanzanian Woman arrested in Macao China for Drugs Smuggling
A 28-year-old woman from Tanzania was arrested on a charge of drug possession in Macao, Dec 19, 2013. She hid 1.1 kilograms ofheroin valued at $137,720 in her body and took a flight from Thailand to...
View ArticleStory: Living Without Recognition
There was a farmer who had a horse and a goat..One day, the horse became ill and he called the doctor, who said: – Well, your horse has a virus. He must take this medicine for three days. I’ll come...
View ArticleWatoto 15 watinga fainali za shindano la “MO Kids Got Talent 2013″, fainali...
Lango kuu la kuingilia kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar panapofanyika shindano kali la kusaka kipaji cha SUPA STAA wa watoto na vijana! la ”MO Kids Got Talent 2013″ .Wazazi...
View ArticleSkylight Band yaporomosha burudani ya kukata na shoka X-MASS ndani ya kiota...
Vijana wa Skylight Band wakionyesha manjonjo yao kwa mashabiki wa Band hiyo wakati wa sherehe za X-MASS ndani ya fukwe za kiota cha Escape One walipotoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao....
View ArticleShrek Style Wedding For Cancer Research
A fairytale wedding Couple dress up as Shrek and Princess Fiona for their big day… and make their guests come in fancy dress too Nathan, 39, and Amanda Gibbs, 44, dressed as Shrek and Princess Fiona...
View ArticleVideo: Daktari wa Kutibu Umaskini Huyu Hapa!
Msikilize daktari wa kutibu umasikini hapa akizungumza kwenye Wanawake Live, kipindi kinachorushwa na East Africa Television kila Jumanne saa tatu kamili usiku.
View ArticleJionee jinsi wateja wa Vodacom walivyojirusha kila kona ya Jiji La Dar wakati...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume “Chege “akionyesha umahiri wake wa kutawala jukwaa wakati wa Tamasha la Cheka Bombastiki lililofanyika katika ufukwe wa Coco beach jijini...
View ArticleSamsung yakabadhi rasmi gari kwa Mshindi wa promosheni ya Pambika na Samsung
Mshindi wa zawadi ya promosheni ya Pambika na Samsung Bw. Juma Musa Ramadhani akiwa ndani ya gari lake jipya aina ya Mitsubishi Double Cabin mara baada kukabidhiwa rasmi katika hafla Maalum ya...
View ArticleSelf Care for 31st Dec
1. Symptom : Cold and humid feet. Cause : Glass is being held at incorrect angle (You are pouring the Drink on your feet). Cure : Manoeuver glass until open end is facing upward… 2. Symptom : The...
View ArticleMost people pay bribes for public services in East Africa
The Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Dr. Edward Hosea, By Damas Makangale, MOblog More than half of all those who deal with public service providers are...
View ArticleDkt. Shein kufungua maonyesho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
Makamau wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia matayarisho ya mwisho ya maonyesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Kampasi YA Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar {...
View ArticleWakazi wa kijiji alikozaliwa IGP Mangu wapokea uteuzi wa mwana wao kwa bashasha
Mama mzazi wa IGP Ernest Mangu,mkazi wa kijiji cha Kihanuda tarafa ya Ilongero wilaya ya Singida, Bi. Mwanaidi Msengi akipasua kuni kwa ajili ya kupikia chakula. Mama mzazi wa IGP, Ernest Mangumkazi...
View ArticleJaji Warioba akutana na Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) na Baraza la Habari...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena (katikati) wakati wa mkutano baina...
View Article