Mama Tunu Pinda amezindua Saccos ya Chama cha Makatibu Muhtasi nchini.
Mama Tunu Pinda Mke wa Waziri Mkuu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Saccos ya chama cha Makatibu Muhtasi Nchini (TAPSEA) kutoka kushoto ni Bibi Pilli Mpenda Mwenyekiti wa chama cha Makatibu Muhtasi...
View ArticleRais Kikwete azindua kampeni ya Lishe leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid akisalimiana kitabu cha kampeni ya Lishe Tanzania baada ya kukizindua leo Machi 16, 2013...
View ArticleLaughter is the best Medicine.
A beggar knocked at Banta’s door and said, `Please give me some money.’ Banta: `I have no money.’ Beggar: `you can give me some atta (flour) Banta: `There is no atta left.’ Beggar: “Then give me an...
View ArticleChinese man smashes his $420,000 Maserati Quattroporte in protest of bad...
Quick! Make a list of those brands/companies that haven’t offered you good customer service. Yes, now assemble all those things you have brought from them, either put them on fire or hire...
View ArticleBajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara yapita.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda akisoma hotuba ya Wizara yake Bungeni, jumatano wiki hii. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na Naibu wake Mh Gregory Teu wakisikiliza...
View ArticleLinah, Barnaba kutupiwa virago THT.?!
Wasanii wa THT Linah na Barnaba wakitumbuiza katika moja ya matamasha. Na. Andrew Chale Kuelekea shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye...
View ArticleDavid Beckham Announces He’s Retiring from Soccer.
He’s never been considered the best soccer player in the world, but it’s safe to say that David Beckham has most certainly become the most recognizable player in the sport known as “football” in every...
View ArticleCandice Glover Wins 12th Season of ‘American Idol’.
Candice Glover, who took home the Season 12 title of “American Idol” Thursday night, beating out country singer Kree Harrison for a well-deserved victory. The South Carolina native is the first female...
View ArticleRais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete atembelea Kiwanda cha East Coasts Oils and...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya MeTL Mh. Mohammed Dewji (Mb) wakati wakisubiri...
View ArticleZanzibar yaiomba Norway kuangalia uwezekano wa kuisadia kitaaluma katika...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bibi Inguun Klepsvik Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar na kuiomba Norway kuangalia uwezekano...
View ArticleFainali Kombe la klabu bingwa Ulaya leo wajerumani Bayern Munich na Borussia...
Mabingwa wa soka wa Ujerumani Bayern Munich na Borussia Dortmund leo wanapambana katika fainali ya kugombea kombe la klabu bingwa barani Ulaya itakayochezwa kwenye uwanja wa Wembley mjini London....
View ArticleHoyce Temu atoa Somo kwa Warembo wa Miss Kigamboni 2013.
Warembo wa Miss Kigamboni 2013 wakipewa somo na Miss Tanzania mwaka 1999, Hoyce Temu wakati alipowatembelea kwenye kambi yao kwa lengo la kuwafunda warembo hao,Hoyce aliwaaambia warembo hao mambo...
View ArticleMovie star Leonardo DiCaprio Space Trip Raises £1m In Auction.
Leonardo DiCaprio at Cannes Film Festival. Leonardo DiCaprio is heading into space, and a bidder at the Cannes Film Festival has paid 1.2m euros (£1.5m) to be his travelling companion. The trip with...
View ArticleUchaguzi mdogo wa jimbo la Chambani Mkoa wa Kusini Pemba CCM kufanyika Juni 16.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi (pichani) kesho anatarajiwa kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chambani Mkoa wa Kusini Pemba kupitia...
View ArticleTrina Braxton Debuts Brand New Single “Game Time”
The Braxton’s self-proclaimed “party girl” Trina Braxton is back with a follow-up to last year’s “Party Or Go Home” called “Game Time.”
View ArticleUjumbe TPA watembelea ubalozi wa Tanzania, Kigali.
Pichani katikati mwenye Kaunda suti ni Col. Mrangila, kwa sasa ndio Mkuu wa Ubalozi, aliyeshikilia koti ni Magesa, Mkuu wa msafara wa TPA, wa kwanza kushoto ni Mwasswe Mwambata Msaidizi wa Kijeshi na...
View ArticleA Sneak Peek Into Big Brother House!
Big Brother The Chase – Sneak peek. The Countdown to the launch of Big Brother The Chase has begun! With hours, many surprises awaiteagerly anticipating audiences across the continent, including the...
View ArticleStella Mwangi a.k.a STL ni mmoja kati wa wasanii watakaotumbuiza kwenye...
Mmoja wa wasanii watakaotumbuiza jioni hii kwenye uzinduzi wa show ya Big Brother-The Chase Stella Mwangi a.k.a STL kutoka Kenya akifanya mahojiano na Tsholofelo Mothibi wa Vuzu Tv ya nchini Afrika...
View ArticleFedha Kessy na Nando waiwakilisha Tanzania kwenye Shindano la Big Brother-The...
Pichani juu na chini ni Kundi la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini likitoa burudani wakati wa uzinduzi wa show ya Big Brother-The Chase iliyorushwa Live na Channel za DStv 197 na 198 jijini...
View ArticleSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yaamua mashamba yote ya mikarafuu...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikagua shamba la Minazi la Serikali la ekari 45 lililo chini ya usimamizi wa Wizara ya Ardhi likikabidhiwa kwa Wizara ya Kilimo kwa vile lipo...
View Article