$ 0 0 Ndg. Phares Magesa (MNEC -Temeke) akiwa na viongozi wa kituo cha watoto yatima New Hope Family cha Kigamboni mara baada ya kuwakabidhi msaada, Watanzania tuendelee kuchangia wenzetu wanaoishi katika mazingira magumu.