Habari zilizotufikia mchana huu ni pigo kwa Taifa na Mkoa wa Mara kwa kuondokewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa (pichani) aliyefariki ghafla baada ya kuanguka ofisini kwa Mkuu wa wilaya ya Tarime, John Henjewele na kuanza kutoa mapovu mdomoni hadi mauti yalipomfika.
Utakumbukwa na familia yako na watu waliokuwa wakikufahamu, akiwemo rafiki yako kipenzi, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Leph Gembe Hakika mchango wako wa kulitumikia taifa hautasaulika.
Bwana alitoa na Bwana Amekataa, jina la Bwana lihimidiwe.