Mkuu wa Masoko wa Kampuni ya Smile Communications ltd, Ms Linda Chiza akimpongeza Sisit Karia aliyeibuka mshindi wa promosheni ya shinda iPad inayoendeshwa na Kampuni hiyo mwezi Machi. Anaeshuhudia kushoto ni mkaguzi wa Bodi ya michezo ya bahati nasibu Bakari Majid. Droo nyingine itafanyika tarehe 31 March mwaka huu.
↧